
Chombezo : Body Spray (Handsome Boy)
Sehemu Ya Tatu (3)
"haaa umenivutia kweli me nataka hata goli moja tu nitakulipa usijali nafanya fasta"
"kaka wewe si umekuja na mpenzi wako? Na hata mimi nimeolewa pia"
"aah acha ushamba bwana kwahiyo huyo mume wako kakufungia alarm bwana ebu nipe mambo hayo"
"ila we kaka una hatari"
Niliongea vile huku napitisha mikono yangu nikanyanyua ile sketi yake fupi ya blue na shati jeupe pamoja na skafu kama ya chama cha alama ya vidole viwili. Ile kitu ni tamu kama asali sema kuna wakati inageuka na kuwa chungu kama shubiri. Nilifanikiwa kuzamisha sukari guru yangu kwenye nyapu ya yule dada nikaanza kusugua gaga hapo mguu mmoja nimeushikilia upo juu na mwingine umekanyaga chini na kama ujuavyo penzi la wizi huwa linanoga kweli hata chp yenyewe iliwekwa upande na hata mimi sikuweza kuiona inafananaje.
Nilipiga mchezo mpaka pakawa panawaka moto na kukojoa sikojoi akaona kama namkomoa akasema anataka kula koni ajaribu kama atanikojolesha wakati ngoma inanoga nimekishikilia kichwa chake nakipigisha mambo kwelikweli mara mlango wa chooni ukawa umeguswa kitasa na kutaka kufunguliwa ila uligota mgongoni mwangu.
Mlango uliendelea kusukumwa na mimi sikumpa nafasi ya kufungua nikaendelea kuweka kizingiti baada ya muda nikaona ukimya wa hali ya juu nikajua tayari angel atakuwa amerudi kitandani. Nikatulia kidogo na kuanza kuongea na yule mdada kwa sauti ya kunong'ona
"sasa we nenda hela yako nitakuletea pale kaunta"
"haya usisahau maana nyie mkisha onja ndo basi tena"
"usijari mwaya ngoja nimuangalie bi mdada"
Nilifungua mlango taratibu na kumkuta angel amelala kabisa lakini akiwa amejifunika na shuka. Nilienda kufungua mlango nikamtoa yule dada ile narudishia angel akashtuka.
"umetoka wapi muda huu?"
"nimetoka kupeleka nguo ulizotapikia ili wakazifue"
"anhaa njoo unifungulie mlango wa chooni me siwezi kufungua alafu nataka nikakojoe nimebanwa"
Nilimfungulia akabaki anashangaa nimefunguaje funguaje na wakati yeye kafungua zaidi ya mara tatu lakini haukufunguka.
Nilimtazama alivyokuwa anajisaidia nikawa natabasamu baada ya kumaliza nikamnyanyua na kumpeleka hadi kitandani angel alinisihi nisimnanii kwani alikuwa kwenye tarehe mbaya kama nina kondom sawa. Dah kusema ukweli nilipomuona kifua chake, mgongo wake na hapo kwenye kitovu na chini kidogo nilidhamiria kula lile tunda adimu. Sijui alilegeza wapi nikachomeka kitu chomboni nikaanza kusugua gaga mpaka nikasikia kama kuna sumaku kule ndani inanivuta kitu kilikuwa kinatekenya kweli na nilidhamiria kumuoa kabisa, angel maana alikuwa na vigezo vyote. Cha kwanza ni mzuri wa sura na tabia, pili ana elimu na kazi nzuri so pale uhakika wa Maisha.
***
Mapenzi mimi na angel yalikolea sana na kunifanya nijipange kwa ajiri ya ndoa yangu na yeye kwani tayari nilishamvisha pete ya uchumba na kwakuwa nilijua tayari ana ujauzito wangu nilijua nitatumia kama kigezo kumuoa. Nilipanga nae mipango mingi na nilikuwa tayari kuitwa baba.
Nilirejea kutoka job nikawakuta wamama pale kibarazani nikasalimia na kupita hadi ndani kwangu. Lakini cha ajabu nikakuta barua mezani yenye alama ya kiganja cha mtu. Iliandika hivi "dickson mimi nakusihi kwa mara nyingine tena hiyo mipango yako unayotaka kufanya lazima utafeli tu si unajifanya mjanja"
kichwa kiliniuma sana kwani nilijua ni jini sadia maana nilifunga mlango ile barua itakuwa ameileta yeye.
Nilikurupuka kutoka chumbani huyo mpaka nje nikaenda na kukaa katikati ya wale wamama huku ninahema kweli. "jamani nani aliingia ndani nauliza jamani nisaidieni"
"kwani kuna nini ndani kwako dick jamani?" aliongea mama mwenye nyumba
"barua barua kuna barua"
"khee jamani ebu twendeni tukaione hiyo barua"
Walinyanyuka wakawa wanaenda chumbani kwangu huku mimi nawafata kwa nyuma wakaingia ndani mimi nikabaki nje ili nisikie kitakachojiri kama ipo niliapa sitalala mule ndani kamwe.
"mbona hamna kitu hapa mezani umeiweka wapi sasa?"
"chungulia hadi ufunguni huko itakuwa imeanguka"
Walijitahidi kusogeza sofa, meza kabati lakini awakuiona wakaanza kuongea wenyewe huko ndani huku mimi nikiwa standby kwa lolote tu ni mwendo tu.
"nenda ndani dickson amna kitu bwana ni uoga tu"
"anhaa kumbe uoga basi ngoja nibaki tu hapa nje naomba nifungieni huo mlango, mzime na taa nipeni huo ufunguo"
"jamani inawezekana kweli sasa sijui tumpigie simu mchungaji lusekelo?" alisema mama anna aliyekuja kwa rafiki zake.
"mmh sasa hivi ni usiku itakuwa ngumu labda tukamuone kesho jumatano ni siku ya maombi na maombezi"
"sawa amna neno mmoja kwani amna mtu wa kiume abaki nae kwa usiku wa leo?" aliuliza mama anna asijue maisha yetu pale ndani.
"hapa amna ila nitabaki nae mimi" alisema mother house.
***
Nilienda kuoga mlango ukiwa wazi na mama mwenye nyumba akiwa mlangoni kuniangalia na niliapa kama kikitokea kitu nitamrukia kweli kama tukianguka sawa tu. Nilioga nikamaliza na kujifunga taulo mpaka ndani kwangu ile naingia ndani pale mezani nakuta msosi umetengwa na juice pia na jinsi nilivyokuwa na njaa sikutaka kwenda kuvaa kwanza nilikaa kitako na kuanza kujipakulia mother house akanishka mkonö. "mmh najua una njb acha nikupakulie mezani mpaka chumbani nitakupakulia pia"
Nikawa mpole na kupagawa na ule usemi kuwa mpaka chumbani nitapakuli haya yangu macho na jinsi ninavyoyapenda hayo mambo ya kupakuwa hata sinaga shida maana zangu ni kukwangua mpaka ukoko na kuumwagia mchuzi wa nyama ili kuulainisha.
"hapa mama nashukuru sasa naweza kulala sasa nisikusumbue wewe nenda kalale me nitalala mwenyewe"
"utaweza kweli kulala mwenyewe wewe?"
"nitaweza tu mama usiwe na wasi"
"basi nikwangulie ukoko kwenye sufuria ukiweka mchuzi tu me naondoka nao"
"jamani mama haya japo kijiko sina"
"usijari hata kwa mkono tu we kula mimi nipo vizuri"
Ukoko ulikwangulika vizuri na kwa jinsi nilivyokuwa na uzoefu wa kukwangua ukoko wa kila aina ya mchele kwanzia vip, kitumbo, super ya mbeya, morogoro na shinyanga ile ya high class. Wabeja sana nilijikuta namwaga mchuzi kwenye ukoko nikajitupa pembeni. Nikamuasha mama nae anamalizia malizia akajifuta na kanga yake kisha akanibusu akaniweke noti za elfu kumi nne na kuondoka zake.
Nilipitiwa na usingizi mara mtu akawa ananitikisa kwa nguvu baada ya kuniita sana sijaamka. Alikuwa ni amina aliyekuwa na kanga moko tu.
"afadhali nimekukuta maana nimekuulizia sana mimi nina jambo moja dick"
"jambo gani?"
"hivi kweli una mpango wa kunioa au unanichezea tu?"
"mpango upo sema soma kwanza"
"sawa nasoma lakini nimekwambia hivyo makusudi kwani nimeamua kubeba mimba yako"
"niniiii?"
"unashangaa nini sasa haya nikane kama haukunipa wewe maana si ndo mlivyo wanaume"
"unajua amina una makusudi sana yani kweli kabisa unaniambia kirahisi eti nimeamua kubeba mimba yako na masomo itakuaje? Au mama yako akijua itakuaje?"
"masomo nimebakiza miezi3 nimalize shule na mama huyu si ataambiwa tu"
"sawa hamna tatizo me mbona sina neno nahitaji kweli huyo mtoto lakini kuwa muangalifu nenda kalale kesho nadhani tutaonana jioni nikirudi"
Amina aliondoka kumbe nyuma ya mlango alikuwepo sada dada yake na alisikia kila kitu ile natakakuzima tv nashangaa mlango unafungulia sada huyo.
"naona safari hii umeamua kuiabisha familia yetu na nilikwambia hapo kabla dick ona mimi na mdogo wangu umetutia mimba yani wanaume nyie"
Nilikaa kimya na sikumjibu lolote akaanza kunipiga piga kifuani na mwishowe akanilalia kifuani na kukb iguuni mwangu "dick nakupenda sana najua mimi unanichezea tu lakini hata kama ukioa sitaacha kukupenda" yale maneno yalinichoma sana.
"nakuomba mpenzi usitoe hiyo mimba kiukweli nataka mtoto kwa sasa nakuahidi nitamlea nakuomba"
"sawa dick hata mimi nataka kuzaa na wewe ili iwe kumbukumbu kwangu pia hata ukija kuoa nitakuwa nikikaa na mwanangu nakukumbuka"
Nilimnyanyua na kumpakata kwenye mapaja yangu na kumnong'oneza kwa maneno ya mahaba nikawa kama namtekenya masikio akadata bwana kuondoka haondoki namwambia kesho basi hataki anataka nipalilie mimba maana kama nilimboast flani.
"dick naomba nitie japo vidole maana vimenipanda"
Nilimsweka vidole kwelikweli yani sio kidogo ilikuwa takribani dakika 40 mpaka akapasua yai nikamuasha akalale yani ametepeta mtoto wa watu mpaka aibu akawa anajishika kwenye ukuta na kunifanya nimuite.
"Sada! Sada! Sada"
"beee"
"kama utojali njoo ulale"
"hapana kesho baby ngoja nikalale tu hapa ninajisikia vibaya"
"pole bby wangu usiku mwema basi"
Niliagana nae kisha nikafunga mlango na kuzima kila kitu nikajitupa kitandani nikawa natafakari pale nimempa mimba mtu na dada yake nitaleaje kama wote wakijifungua na pale niliombea fundi rangi wamalizie niamie kwangu maana yale mauzauza ya pale ndani yalinishinda kabisa. Nikaona sina namna ngoja nimuombe ushauri bestfriend wangu richard nikampigia simu.
"hello kaka umeshalala?"
"hapana ndo nilikuwa najiandaa kulala mbona usiku leo kaka?"
"dah richard rafiki yangu wee tu yani hapa nimewatia mimba watoto wa mama mwenye nyumba yani hapa nyumbani nimechafua sana kaka alafu sasa kuna mtu ndo nina mpango wa kumuoa sijui itakuaje?"
"dah kaka hapo mbona umeharibu tayari kwanini usingeniomba ushauri kabla lakini anyway"
"nisamehe sana kaka alafu nilisahau kukuambia kitu kuna jini kaka ametokea kunipenda ananipata tabu sana yani naogopa"
Kabla sijamalizia kuongea simu ya angel ikaingia nikamwambia richard akate simu nikaongea na angel neno la kwanza aliniambia hivi.
"dick muda sasa sijaziona siku zangu nahisi nina mimba"
"we angel ebu acha masihara we ujui nyie wanawake siku hizi tarehe zinabadilika badilika katika mzunguko sasa nenda kapime kwanza onhoo"
"ndio nakubali tarehe huwa zinabidilika badilika lakini nina dalili zote za mimba na kumbuka siku ile nilikukataza usimwage ndani ukaniahidi utamwaga nje na ukufanya hvyo ulitegemea nini? Me nataka ukubali tu kuwa mimba ni ya kwako kwani uwezo wa kulea ninao mimi"
"mama huko umefika mbali, angel tatizo lako unapenda tubishane inawezekana ni malaria tu lakini umeshikia bango na maneno yanakutoka hamna mfano"
"dick mume wangu nitaenda kupima niakikishe kama kweli lakini najua mpango wetu wa kuoana upo palepale"
"hilo tu mpenzi ondoa shaka alafu kesho jioni uje hapa home"
"mwenzangu hapo kuja siwezi nyumba ukiingia watu wanakuangalia mpaka macho yanadondoka bwana, natamani nije nikupikie mume lakini nayo kazi inachosha sana"
Nilifanikiwa kumbembeleza angel mpaka akakubaliana na mimi lakini baada ya kukata simu nikatafakari, sada na mdögo wake amina nimewatia mimba haya na huyu tena angel nae ana dalili zote za mimba nilinyanyua simu kwa lengo la kumtafuta richard lakini cha ajbu usingzi ukanipitia palepale hata sikujua ni muda gani niliolala.
Nikiwa kwenye usingizi niliota amekuja mwanamke mwenye vazi jeupe mfano wa malaika vazi lililomfunika mpaka miguuni akanishka mkono lakini nikakataa akanivuta kwa nguvu na kunipaka kitu usoni nikajikuta namfata kama zuzu hata sikujua tuendapo na tazama kitu mfano wa merikebu kilikuja na wote tulipanda lakini safari ilikuwa ya muda mfupi sana akaniambia "dickson karibu kwenye milki yetu hii dunia nyingine yenye kila kivutio"
Nilitetemeka hasa palipoona tunaingia ndani ya maji na kwenda chini kwenye mahali nzuri na samani za kila namna. Tulifika mpaka mbele ya ndugu zake ambao ni watu wenye asilia ya ualabu. Alikuwa ni mzee.
"kijana naona kuna wanawake hawa watatu na mwanangu amekuchagua wewe je upo tayari? Na Tambua kama hautakuwa tayari kukuashia urudi duniani"
Wakati wanaendelea kuongea niliwaona sada, angel na amina wakiwa mfano wa watu ndani ya tv. Niliona tena nimelala kitandani lakini ni kama nimekufa nilimuona sada akilia kwa uchugu sana baada ya kuniamsha kwa muda mrefu.
"unajua dickson niliapa mwanaume atakayetumia bidhaa yangu nae akitoka afrika huyo ndie atanioa na wewe ni wa kwanza kutumia lotion na kikubwa body spray yangu hivyo wewe una bahati sana"
"bahati kumuoa jini! Nilijisemea moyöni huku naangalia kule na kuona watu wamezunguka mwili wangu tayari kwa kuukimbiza hospitalini nilitamani nirudishiwe uhai wangu japo sekunde moja nipate kuaga ya milele.
Mara sadia akaning'oneza "sitakuua ebu rudi tutaonana kesho" alinifumba macho ile nafumbua asubuhi nipo kitandani napiga chafya na watu wote walishtuka sasa mimi nilijiona nimeamka kutoka usingizini nikawasalimia lakini bado wakawa na wasiwasi nikabeba ndoo ya maji nikaenda zangu kuoga tayari kwenda kazini.
Watu walitawanyika na kila mtu aliongea lake mara nikamuona angel anaingia ndani haraka haraka huku anahema na alipöniona alinikumbatia mpaka nikaangua nae kitandani.
"jamani ungeniua we dick nilikuwa naongea na dokta hospitali eti nikapigiwa simu sijui na nani eti umekufa khaa! Hivi jana tumeongea leo ufe wakati nina taarifa njema kwako mume wangu"
"ipi hiyo?"
"si nina mimba ya mwezi na nusu sasa am very proud on this/najivunia na hili"
Hapo nilizidi kuchanganyikiwa maana sadia aliniandikia ujumbe ile juzi kuwa kila nitalofanya nitafeli je inawezekanaje wazazi wa angel wakakubali angel haolewe na mimi na wakati kuna skendo ya kuwapa mimba ndugu wa familia moja.
"wee dickson njoo utusaidie sada analia huku tumbo linamuuma"
mamaa yangu mimba yangu imekuaje au amekunywa dawa ya kutoa mimba? Jamani mimi!!
Nilipita na kutoka nje nikapita hadi chumbani kwao na sada na kumbeba tukamuweka kwenye bajaj mpaka dispensary ya karibu tukamuweka kwenye kitolori mpaka ndani.
Niliketi pale kwenye benchi kama chizi na nilitamani niingie ndani nione kinachotokea lakini nilishindwa kutokana na kutoruhusiwa kuingia mule ndani baada ya muda nilimuona nesi aliyekuwa zamu ule usiku akija na daftari kubwa mkononi.
"kaka wewe ndo umekuja na mgonjwa anaitwa sada saleh?"
"ndio nesi kuna nini kimetokea?"
"mgonjwa amepata mshtuko na imepelekea ile mimba kuharibika kwani mtoto alikufa tangu zamani na ndio maana alikuwa anaumwa tumbo lakini tumefanikiwa kumfanyia operation na anaendelea vizuri"
"nesi kwahyo mimba imeharibika?"
"ndio lakini mama yupo salama"
Nilichanganyikiwa kwelikweli lakini yameshatokea nitafanyaje? Tulirejea nyumbani saa sita za Usiku nikalala nae ndani kwangu japokuwa usiku kucha sikulala alikuwa analia maumivu nilimpa pain killer akanywa kidogo akapata usingizi.
***
Lile balaa alikuishia hapo amina nae alienda hospitali kufanyia vipimo ikagundulika kuwa mimba imetungwa nje ya kizazi nae mimba iliharibika nilitambua kuwa atakuwa yule jini sadia nikampigia simu angel baada ya kuona lile balaa linaendelea.
"hello angel umeenda kliniki kweli?"
"ndio nimeenda mbna unaniuliza leo kulikoni mwenzetu"
"kwani kujua hali ya mpenzi wangu na maendeleo ya mtoto wangu ni makosa?"
"hapana mpenzi wangu nashukuru kwa kunijari"
"vipi mimba imekaa sawa?"
"imekaa sawa mpenzi wangu mbna una wasiwasi lakini?"
"hapana nataka twende kwa mchungaji kesho ebu jiandae nitakwambia kesho"
"jamani kuna Nini honey? Mbna leo sikuelewi umekunywa au?"
"hapana me nimekwambia hvyo naomba nisikilize"
Nilikata simu nikawa nafikiria ni kipi nitakachofanya na pale nilitaka kuahama maana sikuwa na amani kabisa na nilitamani ndani wa mwezi ule wale mafundi wamalize ile kazi tu niamie.
Nilienda na kumueleza hali iliyotokea mchungaji na mbele ya mchumba wangu angel kwani sikutaka iwe siri tena na mchungaji akaniambia inabidi nikiri kuwa sitarudi ile dhambi tena na niwe tayari kuokoka na pia akaniambia endapo nitashiriki dhambi yeyote hasa uzinzi yule jini atabeba na wenzie wengi watakuja na kunishambulia mimi. Nilikaa na kutafakari mienendo yangu nikagundua mimi ni mtu wa kupenda wanawake ila kwa hili inabidi nistop na nisitumie tena ile body spray kwani ndio chanzo cha matatizo yale. Tuliombewa pale na kurudi nyumbani tukiwa na furaha japo angel alikuwa ananisihi niache tabia yangu ya umalaya kwani tunaweza kumpoteza mtoto aliyetumboni pia.
Maisha yaliendelea nikaamisha vitu vyangu kwenye nyumba yangu mpya ya mbezi kimara nikategemea kuwa endapo ndoa yangu na angel ikikamilika tutaamia pale, pale kwa kina sada nilibakiza kitanda tu na vitu vichache kwani kodi yangu ilikuwa bado miezi miwili.
Nakumbuka ilikuwa jioni muda wa saa moja nilisikia hodi mlangoni kwangu nilinyanyuka na kwenda kufungua sikuamini alikuwa ni jasmine mdogo wake angel alikuja kimitego kabisa tokea nilipomfungulia mlango kwani alinikumbatia na kuanza kudeka kifuani kwangu.
"jamani shem we una roho mbaya unajua mimi ndo nilikuwa wa kwnza kabla ya dada angel lakini kusoma ndo kumetutenganisha eti mimi mdogo leo naomba unipe nafasi kiduchu nikuonyeshe ufundi wangu"
aliyabwaga maneno yule mtoto niliyedhani ni mdogo kumbee!!! Wakati huo kuna nafsi inaniambia nisifanye ile ni dhambi na tayari nilionywa na nyingne inaniambia udhaifu huo utaonekana sio rijali.
"sawa jasmine usijari hata mimi nina hamu kweli lakini naomba niende chooni mara moja nakuja"
Kitendo cha jasmine kuniashia mwanya nilichomoka mpaka kwenye pub flani nikaagiza soda na nyama choma huku naangalia big game baina ya chelsea v/s manchester city hyo yote ilikuwa kumkwepa jasmine nilijua atasubiri mwishowe ataondoka maana sikutaka kusumbuliwa na lile jini kisha nipoteze mtoto na nimpoze mke wangu angel kwa kashfa ya kutembea na mdogo wake haataaa huo upuuzi siwezi kuuvumilia tena.
Nilikaa pale nikala mpaka mpira ulikwisha ukaja mwingne kati ya barcelona na real sociedad nao ukaisha mimi niliendelea kuwa pale mpaka nihakikishe yule mtoto kùle ameondoka. Ile pub ilifungwa ilipofika saa6 na mimi nikanyanyuka nikaanza mwendo wa kurejea nyumbani nikiwa kama nanyata baada ya kufika karibu na sebure yangu nikafungua mlango taratibu maana kulikuwa na kiza ile nafungua tu paka mweusi akatoka ndani na kukimbilia nje alinipita katikati ya miguu yangu kwa woga niliruka kama swala "mamaaa! Ushindwe ushindwe ushindwe" nilikemea pale lakini nikiwa na woga mkubwa nikawasha na kujitupa kitandani kama gunia tuuuupu!!!
***
***
***
Ilikuwa ni siku nzuri sana baada ya mimi na angel kufunga ndoa na cha furaha zaidi baba mkwe alitukabidhi nyumba maeneo ya mbezi beach na gari aina ya land cruser mkonge la kutembelea nilifurahi sana na ile nyumba yangu ya mbezi kimara waliamia familia yangu yani baba, mama, wadogo zangu denilson na debora pamoja na mfanyakazi wa ndani. Sitakuja kuisahau siku ya ndoa yangu na niliamua kubadili mfumo mzma wa maisha yangu na kuwa na hofu ya mungu sana maana kwa hali iliyonitokea huko nyuma imenifundisha mengi sana.
Kiuchumi tulikuwa vizuri nilipata kazi ya kuwa meneja wa masoko katika kampuni ya baba mkwe ya clearing and forwarding na mshahara nilioupata ulinitosha kabisa wakati huo mke wangu angel alikaribia kujifungua kwani alibakiza mwezi mmoja sema tumbo lake lilikuwa dogo kiasi sio rahisi kumjua ana mimba.
Miezi ilisogea sana lakini tatizo la mke wangu alikuwa kila mara anataka kuniona na kuna siku alichukua gari akanifata hadi kazi kisha baada ya kuridhka akarudi zake huo ndo ulikuwa mchezo wa mke wangu hata nikitoka kazini inanilazimu niwahi kurudi ili asianze kuwaza sana, na tarehe za kujifungua zilipokaribia alimuita mdogo wake ili aje kumsaidia kumtengezea chakula japokuwa mfanyakazi alikuwepo unajua mke wangu apendi kabisa mfanyakazi anipikie chakula wakati yeye yupo na hata chanzo cha kumuita mdogo wake ni hicho. Sasa yeye hakujua mimi na jasmine tulivyokuwa tunawindana.
Jasmine palikuwa na hali ya kuheshimiana kama hamna kilichotokea ila siku hiyo usiku mke wangu alipata uchungu wa kujifungua nikamuwaisha hospitali kwa msahada wa majirani lakini hakuweza kujifungua siku hiyo kama saa nane nikawa narejea kutoka hospitalini nipo hoi nikaingia chumbani kwangu ili kulala nikamkuta shem wangu jasmine akiwa amelala kitandani kwangu na chp tu nilivua viatu nikaweka sehemu maalum ya viatu nikaenda hadi sebureni nikawasha air condition nikalala zangu kwenye zuria sasa wakati usingzi unanoga nikagundua kama maeneo yangu ya mwili yote yapo wazi nilikurupuka na kumkuta jasmine akiwa amekalia kichwa sasa anakisukuma kizame chote.
"mama yangu wee jasmine umenisababishia matatizo"
"mmh matatizo gani mume wetu me nilikuwa nataka kuönja radha yako kumbe mtamu hivi"
"hapana bwana mimi kuna jini ananitafuta na mchungaji alisema nisije nikafanya kitendo hiki nje ya ndoa kitanisababishia matatizo"
"bwanaee jini hata mimi mwenyewe jini mimi sitoki mpaka unimalize utamu"
jasmine aliendelea kusugua kama vile kapewa dakika fulani utamaliza maana alikuwa anazungusha kiuno chake pande zote za dunia. Mara simu yangu ikawa inaita nikapokea na kuanza kuongea kama naweweseka kumbe alikuwa ni nesi ananiambia.
"samahani kwa usumbufu, mke wako imeshindikana kujifungua kwa njia ya kawaida kwani njia imekuwa ni ndogo na mtoto ni mkubwa hivyo anatakiwa kufanyiwa operation"
Kichwa kiliniuma maana najua mambo ya operation kuna kupata mtötö ukamkosa mama au ukawakosa wote kwa pamoja, nilimsukuma jasmine pembeni nihisi yeye atakuwa ndio chanzo cha yote yale maana mchungaji alishanikataza tayari.
"jasmine wewe ndo chanzo cha haya yote mke wangu alikuwa anaendelea vizuri tu ona sasa nilikataa mimi"
"ishia hapohapo dick mimi itakuwaje niwe chanzo mimi dokta au nesi? Unatakiwa kujua mimi yule ni dada yangu kwanini unanifikiria vibaya?"
"bwana niache me niende zangu"
"unamuasha nani hapa na mimi naenda"
Ile nafungua mlango wa gari jasmine nae akaingia ndani akawa amekaa nikawasha gari tukaanza kuelekea hospitali lakini huko njiani tulikuwa tunabishana mpaka tunafika hospitali.
Nilikuwa na haraka kujua ni kipi kinaendelea na kweli mke wangu alitakiwa kufanyiwa operation nikampigia simu mchungaji kama bahati nimepiga kama mara tatu ya nne ndo alipokea.
"hello mchungaji mke wangu anatakiwa kufanyiwa operation yani hata sijui"
"nimekuelewa ila kuna sehemu umekosea unatakiwa kutubu bila hvyo hyo dhambi itakutesa"
"nimekuelewa mchungaji mfanyie maombi mke wangu basi"
Mchungaji alimfanyia mke maombi kupitia njia ya simu kisha tukaagana akaniambia nimjulishe kitakachoendelea.
Nilikaa pale hospitali nikamuhudumia mke wangu na mara zote alikuwa analia "dick kama kuzaa ndo hivi sitazaa tena hapana siwezi" yalikuwa maneno ya mke wangu akimwambia mdogo wake jasmine baada ya mimi kutoruhusiwa kuingia ndani.
Saa tano asubuhi ndo mke wangu alijifungua bila hata operation nilimshukuru mungu kupata mtoto wa kike ndo alikuwa wa kwanza kwangu nikawa nasubiri akiruhusiwa nimuone maana niliambiwa amezaliwa na kg.5.6 ni uzito mkubwa sana na pia alikuwa bonge pia.
***
Mwezi ulipita toka mke wangu hajifungue na mtoto nilimuita saraphina jina la shangazi yake au dada yangu. Mara zote nilikuwa najitahdi kuwahi kurudi nyumbni kama ujuavyo wanawake wanaotoka kujifungua wanapenda kuwa karibu na waume zao.
"vipi tutoe mwingne?" nilimtania
"aah aku sizai tena labda baada ya miaka mitatu au minne maana hapana ile kazi kubwa sema nyie wanaume amjui tu"
"haya bwana mke wangu yaishe maana unataka tuanze kubishana bure"
"hapana mume wangu hatubishani ila nakuomba kesho ukienda kazini kuwa makini kuna ndoto mbaya nimeota leo usiku"
"mmh inahusu nini tena?"
"we kuwa muangalifu mume wangu nakupenda ndio maana nakwambia"
ITAENDELEA
0 Comments