Recents in Beach

header ads

UTAMU WA KITUMBUA - 1




Chombezo : Utamu Wa Kitumbua
Sehemu Ya Kwanza (1)

Nilivyo Maliza Elimu Yangu Ya Secondary Nilikua Nafuraha Sana Ya Kulejea Nyumbani Kuonana Na Wazazi Wangu Kutokana Na Kuto Onana Nao Kwa Miaka Mitano.

Nilikua Nasoma St Lucas Seminary Iliyopo Nchini Rwanda.Kutokana Na Wimbi Kubwa La Umasikini Ulio Kwepo Kwenye Familia Yetu.Nilipata Msaada Wa Kusomeswa Na Shirika La St Vincent Na Ndio Ikawa Sababu Iliyo Nifanya Nisionane Na Wazazi Wangu Kwa Kipindi Kirefu.

Hata Ilipofika Wakati Wa Likizo Nililazimika Kubaki Shirikani Nikisaidia Kazi Na Kuendelea Kulelewa Huku Nikiandaliwa Ili Nije Kua Padri.

Kusema Ukweli Nilikua Siwajui Waschana Na Hata Nikikutananao Niliwaonea Aibu Sana Nilikua Nawakimbia Kwa Kuona Aibu Hata Wakiniita Basi Nili "Zuga" Nipo Bize Sana.

Mpaka Ikafika Hatua Wakaanza Kuniita Dume Suruali Ikazoeleka Ivyo Kila Wakikutana Na Mimi Wana Niita Dume Suruali Tena Wengine Wali Diriki Hata Kuni Tusi Na Kuniita Majina Ya Kejeli.
Sikulipenda Sana Hili Jina Lakini Ilinibidi Kulizoea Tu Kutokana Ma Mazingira.Licha Ya Hayo Yote Ilikua Aipiti Siku Bila Kupokea Barua Mbili Au Tatu Kutoka Kwa Wasichana Wakinitaka Kima Penzi Sikuwekea Akilini Sana Nilikua Bize Na Masomo.
Lakini Kila Lenye Mwanzo Halikosi Mwisho Siku Ya Mwisho Nili Maliza Vizuri Masomo Yangu Na Kurudi Shirikani Kwa Ajili Ya Kujiandaa Kurejea Tanzania.
Nilipofika Shirikani Nilikutana Na Rafiki Yangu Jose Tulisalimiana Maana Yeye Anasoma Shule Nyingine Na Mimi.
Tukiwa Bado Tuna Piga Story Mbili Tatu Huku Tukiwa Tunaelekea Kwenye Chumba Changu
Tulipishana Na Kijana Mmoja Lakini Hakutusalimia Alitupita Tu Nilipo Muuliza Jose
"Nani Huyu Mbona Simfahamu....?"
Akanijibu...........
Uju Jamaa Mgeni Anaitwa Dani Lakini Mambo Yake Kama Ya Kike Mimi Mwenyewe Bado Sijamwelewa Mana Ana Sauti Ya Kike Balaa.
Nikamwambia Sawa Achana Nae Sikumwekea Akilini Sana Jose Mana Kazoea Kulopoka Lopoka
Hamna Jambo Utakalo Muuliza Akakosa Jibu La Kukupa.
Tukafika Mpaka Chumbani Kwangu Nikaweka Mabegi Jose Akaniacha Akasema Anaenda Mpirani Mana Leo Kuna Mechi.Nikamwambia Badae Acha Niende Kwa Mlezi Nikachukue Tiketi Yangu Kesho Naenda Nyumbani.
Wakati Natoka Kwenye Korido Nika Mwona Yule Kijana Tuliye Pishana Nae Mda Ule Anakuja Kwa Mbali Nikasema Acha Nijalibu Kumsalimia Nione Itakuaje Tulipo Karibiana Nika Anza "Mambo"
Akajibu "Powa" Nika Jikuta Nashindwa Hata Kuendelea Kuongea Mana Sauti Niliyo Isikia Ilipenya Moja Kwa Moja Kwenye Masikio Yangu Mpaka Kwenye Moyo Ilikua Ni Sauti Ya Kike Tena Nyororo Yani Sijawai Sikia Sauti Tamu Kama Ile Kwenye Hii Dunia Ikabidi Niinue Uso Ili Nimtazame Vizuri Lahaulaaaa..... !!!!
Jamani Mtoto Kaumbika Ile Mbaya Nikajisemea Kimoyo Moyo Nikajikuta Naanza Kumtamani Nikashikwa Na Kigugumizi "Ba.........Si Po........Wa" Mida Acha Nifike Kwa Mlezi Mara Moja Nitakucheki.
Akatikisa Kichwa Akaondoka
Haikuishia Apo Nilimsindikiza Kwa Macho Mpaka Alipo Ingia Kwenye Chumba Chake Ambacho Kipo Jirani Na Changu Nikajikuta Natabasamu.........
Huku Moyoni Nikisema Lazima Nimchunguze Nijue Kitu Gani Kinamfanya Aongee Sauti Ya Kike Tena Nzuri Namna Ile. Mana Pale Hostel Haruhusiwi Mwanamke Yeyote Kuingia Pale Mana Ukaguzi Wa Pale Sio Wa Kitoto Ukifika Tu Mlangoni Unavua Nguo Unakaguliwa Ndo Unaingia Ndani.......

nikafika kwa mlezi nikampa salamu baada ya salamu akanipa tiketi akaniambia kesho SAA 11:30 alfajiri unatakiwa airport kwaiyo jiandae agana na rafiki zako kesho alfajiri nitakuja kukupitia ujiandae. nika itikia kwa kichwa kwa maana katika maisha yangu sikuwai kupanda ndege na sikutegemea kama ipo siku nitapanda ndege.kwangu ilikua ni bonge la surprise.hata maelezo aliyo kua ana nipa siku ile sikuyasikia nilikua nawaza kupanda ndege tu.

Ali nisihi sana nikifika nyumbani niwe nahudhulia sana kanisani ili nijiepushe na vishawishi vya shetani nikiwa nangojea matokeo yangu.

baada ya kuongea na mlezi nikapitia uwanjani kutazama mpira lakini lengo likiwa kumtafuta dani nili pepesa macho yangu huku na kule kumwangalia dani kama yupo.Siku fanikiwa kumtia machoni nikaona bora niende nika mwangalie chumbani kwake aje tupige stori mana nilisha vutiwaa na sauti yake na sura yake. nikafika mpaka mlangoni kwake nikabisha hodi nikaona kimya nikaona bora niingie kumwangalia sikumwona huku nikiwa naita daniiii.... .!! daniiii .....!!!
"kimya"
nikasikia maji yana mwagika bafuni nikasogea karibu na mlango wa bafu nikaita danii... akaitika akaniambia
"nisubiri namalizia kuoga...a.a.a a"
nikamwambia powa nakusubiria nje wakati najiandaa kutoka nje nikashangaa kuona chupi na sidiria kwenye kona ya kitanda chake nilibaki najiuliza maswali lakini sikupata majibu.

vime fikaje hivi vitu ?
kavipataje ?
kwani yeye ni msichana ?
na kama ni msichana kafata nini hapa hosteli ?
nilijiuliza mwaswali ambayo nilikosa majibu yake.
nikapiga haua haraka haraka nikatoka zangu nje
mda ulikua umeenda sana nikapita moja kwa moja hadi messini ili nipate chakula cha jioni.
ile nafika tu nika mkuta jose kashafika ana piga msosi kama kawaida yake.kwenye msosi achezagi mbali nika mpa hi akaniuluza vipi nimekuona unatokea chumbani kwa dani salama kweli manaa....... alikatisha maneno mana dani alifika pale pale tulipokaa tuka katisha story. Mimi nikatumia nafasi ile kuwaaga nika waambia kesho najiachia zangu nyumbani msijali nitakaua nawatembelea kila mwezi.
dani alionekana kusikitika sana kuliko jose niliye ishi nae miaka mitano
"jamani kwa nini usinge kaa nasi hata wiki 2 alafu ndo uondoke" aliongea kwa kudeka mimi na jose tukabaki kumtumbulia macho mana alitudadisha kwa sauti yake.nzuri ilijaa lafudhi ya ki rwanda maongezi yetu yalikatishwa na kengengele ya kanisani kwa ajili ya sara za jioni.tuliinuka haraka na kuwai kanisani,tulivyo malaiza kusali kila mtu alielekea chumbani kwake mana sheria ya pale tukikota kanisani hauruhusiwi kuzungumza na mtu yoyote yule.

iliniuma sana mana nilitamani nizungumze na dani mambo mawili matatu, nikafika chumbani kwangu.nikahakikisha kila kitu changu kipo sawa ila cha ajabu naangalia tiketi siioni kawaida yangu sikurupuki nika tuliza akili yangu na kuvuta kumbukumbu ya matukio yote.
nika kumbuka nilivyo ingia chumbani kwa dani nilikaa kwenye kitanda bila shaka itakua nime iacha pale ...........

sasa itakuaje usiku huu je mlinzi akiniona nimefata nini usiku kwenye chumba cha mwanaume mwenzangu nikajipiga moyo konde.
nikasema "Liwalo na liwe" acha niende
nikatoka haraka nika anza kupiga hatua kuelekea chumba cha dani ile nafika karibu na mlango wa dani nilishtushwa na .....................

sauti ya ajabu iliyo kua inatoka ndani Aaaaaaahhhhh...!!! oshiiiiiiii !!! aaaaaa !!!!!! aaaaaaa !!! oooooshiii!!! mmmmmhh,.!!!
nika chungulia kwenye mlango na kumuona dani akiwa mtupu kama alivyo zaliwa nilivyo tupa macho kifuani kwake alikua na chuchu ndogo nzuri zilizo tuna vizuri wabongo wanasema "CHUCHU KONZI"
nikiwa bado naendelea kutalii kwenye mwili wake nilishtuka pale nilipo mwangalia kiunoni kwake alikua na sehemu tatu za haja yaani ya ile ya kawaida ya kila binadamu anayo, ya kike, na ya kiume, nilivyo mwangalia zaidi niligundua ile ya kiume haifanyi kazi ime lala tu.

nilijiuliza maswali inakuaje binadamu wa kawaida ana sehemu tatu.wakati huo dani aliendelea na ule mchezo wake mchafu wa kujichua kwenye papa yake kitendo kile kilini sisimua sana na kujikuta naanza kumtamani.

nika jipa moyo nikaingia ndani ile nafika tu kwa aibu aliyo kuwanayo aliwai kujifunika chini ili nisione hakujua kumbe mwenzake nisha mlia chabo kitambo tu nika muuliza

"kwa nini unajitesa ivyo ?" nilimuuliza

hakunijibu zaidi ya kunionea aibu nika pepesa pepesa macho nikaiona tiketi yangu kwenye kona ya kitanda zilipo kuwepo zile chupi na sidiria basi kidume nika jikakamua nika chukua tiketi yangu na kuondoka wakati naondoka nilishangaa ana niita jina langu nililokua naitwa utotoni "babu njoo basi unimalizie mwenzako Nina hamu "

nilishtuka sana kusikia hilo jina, nika kumbuka nipo hosteli tena niki kutwa itakua kesi kubwa nikaondoka zangu bila kumsemesha kitu.

nilijikuta najawa na maswali mengi yasio na majibu nikiwa nipo kwenye korido naelekea chumbani kwangu.nilipata wasiwasi zaidi lale nilipo pishana na mtu akiwa amevalia taulo huku akiwa amejifunika usoni.nilipo mwangalia vizuri sikuweza mtambua ni nani ila nilistaajabu kumwona akielekea chumbani cha dani.

mh nikajisemea huyu jamaa lazima akamle mana nime mwacha ana minyege huyo. nikaingia zangu ndan nikajitupa moja kwa moja kitandani nikapitiwa na isingizi.lakini cha kushangaza usiku wakati nime lala nilishangaa kumuona mschana akiwa mbele yangu akiwa amevalia kanga moja
waswahili wenyewe wana kuambia "KANGA MOKO"

nika muuliza "wewe ni nani .....?"

kabla hajanijibu alinifata pale kitandani na kuniziba mdomo na kuniambia

"Tulia handsome boy wangu nimeteseka sana juu yako mpaka leo hii nimefanikiwa kuingia kwenye hosteli yenu na tumepishana hapo nje nilikuona unatoka ndani kwa dani hauja mfanya chochote..?"

nika mjibu "sijafanya nae chochote"

akafurahi sana kusikia sijafanya nae chochote akaendelea kuongea............

"Nakupenda sana handsome toka Siku ile ya kwanza nilipokuona pale kanisani"

Siku gani.......?

"siku ile ya ndoa ya kaka yangu nilitokea kukupenda sana handsome boy "

Nika muuliza Siku ya ndoa ? Ndoa ipi ..? mana nimehudhuria ndoa nyingi ?

"ukumbuki mwezi wa sita kulikua na ndoa ya mtoto wa jaji mkuu ilifanyika hapa kanisani kwenu ...... ?"

Sikua na kusema nikabaki namsikiliza tu
nikiwa teali nimeshesha mkumbuka.

"Mimi ni mtoto wa mwisho wa jaji mkuu naitwa manka nasoma Tanzania"

kusikia anasoma Tanzania nikajikuta na furaha na kujisahau kabisa na tukaanza kuzungumza huku akiwa ana nipapasa kifua changu nilikosa hata nguvu ya kumsukuma shetani yule mana sijazoea kufanya ujinga kama ule.

kadli mda ulivyo kua unazidi kwenda ndivyo mihemko ilizidi kunipanda ukiangalia nilikua bado kijana nime fungiwa ndani miaka mitano.simjui hata msichana tena nina midadi ile nilikua nasikia tu kwa rafiki zangu amabao walio kua wanaludi makwao likizo zikiisha stori walizokua wana simulia na madem zao mim nilikua nakaa kimya tu nawasikiliza.waliniona bwege sana kutokana na ukimya na upole wangu.wakati huo sikuwa mbali asije akaniona bwege nikaa anza ku mchezea chuchu zake zilizo simama kama vifuu vya Nazi sikukakaa kizembe nikatoa ulimi wangu fasta mtoto akaudaka akanipa juice tamu ambayo ladha yake hata aielezeki. mtoto alianza kutoa miguno

mmmmmmmhhhhh.........!!!! aaaaooaaaa.......!!! oooooppp......!!!! jamani Handsome wangu Mimi te....al..i ni...tie.....ba...si ali toa miguno ambayo ilizidi kumpandisha hasira nyoka wangu hata sikuelewa mda gani tulivuana nguo nika mweka manka sawa ile nataka tu kumuingiza nyoka pangoni..............................

tulishtushwa na sauti ya mlezi iliyo kuja kunigongea na kuniambia jiandae saa 11 hii twende uwanja wa ndege alisikika sauti kwa nje huku akiniambia ananisubiri nje nikawa sina jinsi manka alinisihi sana nisiondoke.nimuingize hata kichwa tu lakini nilishindwa maana nilikua nimeshachelewa airpot.

nika mbusu kwenye shavu na kumuahidi tutafanya siku nyingine tukikutana. aliiitikia kishingo upande na kuniambia

"please handsome boy usinisaliti huko uendako na Mimi nitakusubili wewe tu."

nikajiandaa haraka haraka nikachukua begi langu teali kwa kuelekea getini kukutana na mlezi amabaye ata nisindikiza mpaka uwanja wa ndege (airpot).wakati ule natoka nili pitia kwenye chumba cha dani ili nimuage nilipofika mlangoni nilishangaa kumuona jose akitoka na taulo chumbani kwa dani.kibaya zaidi jose alishindwa hata kunitazama usoni kwa aibu,nikawa sina cha kufanya nikamwaga na kuwahi getini.nika mkuta mlezi yupo kwenye gari nika msalimia lakini hakuitikia nilijiuliza sana lakini sikupata jibu ina maana kaniona au ?

mana sio kawaida ya mlezi wangu ambaye nimeishi nae kwa miaka mingi leo hii ana nichunia akawasha gari tukaondoka tukiwa njiani akaniambia

"SIKIA KENNY WEWE NDIE KIJANA TUNAYE KUTEGEMEA AMBAE UTAOKOA SHIRIKA LETU NAOMBA UKAJIANGALIE SANA UKO URAIANI PIA JICHUNGE NA WASICHANA"

nilimsikiliza kwa umakini sana nika mwelewa lakini nilishtushwa na maneno aliyo malizia

"HUWEZI KUPINGANA NA UKWELI KAMA UME TEULIWA UMETEULIWA TU.HATA UFANYE NINI LAZIMA UJE ULITUMIKIE KANISA"

mwisho tukafika uwanja wa ndego zikiwa zimebaki dakika 30 tu ndege kupaa angani

tulipitiliza moja kwa moja mpaka mapokezi ku kamilisha utaratibu wote wa safari nikapokelewa ma mfanyakazi mmoja wa ndege na kunipeleka kwenye ndege.moyoni nikiwa na furaha sana ya kukutana ma wazazi wangu. mlezi wangu Ali nipa ki box akaniambia nisikifungue mpaka nikifika dar nika pokea na kuingia ndani ya ndege.

seat yangu ilikua upande wa dirishani.lakini nilivyo fika pale nilisha ngangaa kumkuta binti mrembo sana nika mwonyesha tiketi yangu huku nikimpa ishara anipishe alionekana binti mwenye dharau na jeuri alinitazama kwanzia juu mpaka chini kisha akani fyonza *mchiiiiiiuuuuu* nilishikwa na gadhabu sana nikataka nimnase makofi nikaona ma bodyguard wawili wakaja.

"nitoleeni kinyago hichi" aliongea yule binti

nikaanza kuwaelezea wale walinzi wa yule binti jinsi ilivyo kua uzuri walikua waelewa wakaniambia tu kistaalabu

"kijana epusha Shari mana huyu binti ni mtoto wa waziri mstaafu wa Rwanda anaelekea Tanzania kwenye kongamano la vijana na hii ndege ilikodiwa kwa ajili yake ana maamuzi ya kuketi popote atakapo "

nikaitikia kwa ishara nika kaazangu kwenye seat ya pembeni.alikuja mhudumu wa ndege akatoa maelezo na akatutakia safari njema kile kitendo cha Mimi kukaa seati ya pembeni ya dirisha kiliniuma mana nili tamani sana nichungulie nje nione uzuri wa nnchi ya rwanda.ndege ilianza kupaa na kuelekea Tanzania.

nikiwa njiani nilipitiwa na usingizi na ile nakuja kushtuka nilijikuta nime lala kifuani kwa mtoto wa waziri nili mwomba samahani mana nilijua hapa kifuatacho matusi na vibao.haikua ivyo nasha ngaa ali nichangamkia na akaanza kujitambulisha.

"naitwa sethi ni mtoto wa waziri mkuu mstaafu naelekea Tanzania kwenye kongamano la vijana litakalo fanyika dar es salaam katika ukumbi wa st peter "

naitwa kenny ni mseminary naenda likizo.nilitoa maelezo mafupi kwa sababu sipendi mazoea na watoto wa kike.tuliendelea kupiga stori na tukajikuta tumejenga urafiki teali akaniomba tuwe pamoja kwenye kongamano hilo kwa siku zote tatu, kwa hilo halita wezekana kwa sababu kuna shangazi yangu anakuja kunipokea nitaakaa kwake kwa wiki mbili alafu nitaenda kuwasalimia wazazi mana sijawaona kwa miaka mitano.kusema ukweli sethi alionyesha kunipenda mpaka akaanza kunirembulia na hata kunipa romance (denda) pale pale kwenye ndege.

tulishtushwa na sauti ya mhudumu wa ndege akitangaza bado mda mchache ndege itatua. kutokana na uchovu nilihitaji kwenda msalani kupunguza maji kidogo.wakati naenda nilishangaa kumuona sethi akiwa nyuma yangu ana nifata nika muuliza vipi unaenda wapi

"naenda toilet " alinijibu

nikatabasamu tu mda huo ma bodguard wanatukodelea macho tu.

tulipo fika nili shangaa kumuona sethi akipitiliza na kuingia choo cha kiume na akanioa ishara nimfuate ile nafika tu alinidaka juu juu na kuanza kunipa denda siku sita nilimpa ushirikiano mpaka nikaona mtoto kalegea ile mbaya na yupo teali kwa ajiri ya mechi nikashusha suruali yangu chini ili nimpe dozi gafla nilishangaa kuona ndege ikienda chini kumbe ilikua ina taka kutua kumbe tumesha fika Dar nilijisema nikiwa naoandisha suruali yangu sethi Ali chukizwa Sana na kitendo kile ila hakua na chakufanya

tuliarisha ule mchezo tuliokua tunaufanya na tukurudi kwenye seat. baadhi ya abiria na wahudumu wa kwenye ndege walitukodolea sana macho huku waki konyezana na kutu nyooshea vidole nilijisikia aibu sana ukiangalia sija Fanya chochote.

ndege ili simama na abiria takaanza kushuka sethi alikua bado ana mzuka akaniambia

"tukishuka hapa twende gesti moja kwa moja"

nika mwambia kwa hilo halito wezekana kwasababu mjomba anakuja kunipokea nitafikia kwanza kwake kisha nitaenda kwetu nilipozaliwa iringa kuwaona wazazi wangu mana Mimi ndo wa mtoto pekee.

sethi alionekana kukasirika sana na kuniambia kwaiyo unategema hizi nyege ulizo nipandisha nani atazi shusha.

sikumjibu kitu nikabaki namtazama tu.hakunisemesha kitu zaidi ya kutoa mchozi tu sikujali nikachukua begi langu na kutemka kwenye ndege.nilifurahi sana kumuona mjomba na familia yake wamekuja kunipokea nilifurahi sana kukutana nao tulisalimiana lakini wakati ule tunajiandaa kitoka airpot nilishangaa kumuona sethi akiwa na lile box alilonipa mlezi na akanipa ishara nimfate.nilipo fika pale akaniambia ukitaka nikupe box lako njoo HORENA HOTEL leo usiku saa mbili umalizie nyege ulizo zipandisha.......

nikawa sina jinsi nilimwitikia kwa ishara nika mwambia sina nauli akanipa sh laki 3

"utatumia kama nauli na ole wako usije nita kusababishia kesi ambayo............." tulikatishwa maongezi na mtoto wa kike wa mjomba aliye kuja kunifata na kuniambia

"binamu twende mana baba na mama leo wanasafiri usije ukawachelewesha"

nika achana na sethi lakini alishanipatia maelezo yote ya chumba atakacho kuwepo.

tulifika kwenye gari na safari ilianza kuelekea nyumbani kwa mjomba.nilishangaa tunaingia kwenye bonge la nyumba "binamu akaniambia kalibu sana hapa ndo nyumbani kwetu tutakua wote hapa." walikuja wafanyakazi wawili wakike wazuri balaa wakanisaidia kubeba mabegi na kupeleka ndani.

nilisha ngaa kumuona mjomba akiwa na masikitiko makubwa huku akitokwa na machozi .kidume nika jikakamua nika muuliza "mjomba vipi mbona una una lia" akaniambia tuingie ndani anieleze.

Nilishtukana sana kusikia ivyo ila nika sema any way ngoja nimsikilize.mana ukiona mtu mzima analia ujue kuna jambo.

tulipo fika ndani tulikaa na mjomba akaanza kuniambia "kila nikutazamapo wewe naona sura ya dada yangu" huku akitokwa na machozi mengi.

mjomba mbona sikuelewi una maanisha mama yangu hayupo tena duniani. .....?

"ndio" "alifariki miaka mitatu iliyo pita katika ajali ya gari akiwa na baba yako na mdogo wako wa mwisho"

nilihisi kuchanganyikiwa nilisimama ili nitoke nje nikajikuta naishiwa nguvu na kupoteza fahamu pale pale.sikujua kitu gani kiliendelea nilikuja kuzinduka saa 12:30 jioni nilipo fumbua macho nilikutana na sura ya yule mtoto wa mjomba anae itwa errycah.akiwa ana nipepea niliamka kitandani na kumuuliza mjomba na shangazi wapo wapi...? 

"si nilikwambia mda ule kwamba wana jiandaa kusafiri wameenda south kwenye sherehe ya rafiki yao"

nikajikuta nalopoka maswali mwengi

wanaludi lini ?

kwa nini awajaniaga ?

kaburi la mama yangu na baba yangu lipo wapi ?

kwa nini hamku nipa taarifa ?

yalikua maswali mengi yanayo hitaji majibu Marefu lakini errycah alishindwa kuyajibu akabaki ana nionea huruma na kuniambia usijali baba amesema utaishi hapa na atakuchukulia kama mtoto wake.tuliongea mengi sana na errycah alinitia moyo na kunifariji. alikuja mfanyakazi mmjoja kuniita kaka kalibu chakula mana toka umefika haujala.

errycah akamwitikia akasema haya anakuja tangulia.mana wewe ukiona watu wamekaa zao wametulia unapenda kuingilia maongezi ya watu . alimjibu kwa nyodo yule mschana

binamu nenda kajimwagie maji mi naenda kukufatia chakula uje kula huku chumbani.nili shtuka baada yakusikia nije kulia chumbani nika jisema moyoni "mmmmh mbona majanga haya ila hata akinitega vipi sitegeki"

mda huo huo alinipachika swali "eeeeehee nimekumbuka yule mdada uliye simamanae pale airpot ni nani yako ?"

duuuuuuuu...... afadhali umenikumbusha......kuna sehemu inabidi nipeleke mzigo wa shirika.ilinibidi kutumia uongo mana ninge mwambia naenda kwa sethi asinge nikubalia.aliitikia kishingo upande akaniacha mimi naenda bafuni yeye akatoka zake nje.nilichukua dakika 10 kuoga na kuvaa na teali kwa safari ya kwenda "HORENA HOTEL" japo ni mgeni jijini dar ila nilijipa matumaini siwezi kupotea nikatoka hadi sebuleni nikawakuta wale ma binti wa kazi na binamu wamekaa kihasara hasara kwenye ma sofa nikawapa hi wale mabinti wakanipa pole.

ndipo binamu akaanza kunitambulisha "huyu aliye jifunga kanga anaitwa
Nasma na huyu aliye vaa kimini anaitwa Husna binamu ushindwe wewe tu uanze na nani."aliongea kwa utani

wote tulicheka nika waaga nikaondoka zangu wakati natoka nje errycah alinifata getini na kunipa kiss huku akiniambia "nakusubili naomba uwahi kurudi unipe dozi mana nilikua nakungojea wewe" nilibaki nasha ngaa tu sikumwelewa maneno aliyo zungumza ukizingatia Mimi ndugu yake ila mashalaah mtoto kaumbika nika itikia kwa kichwa kisha nika sepa nika piga hatua kama taño mbele nikaona tax inakuja nika ipungia mkono ikasimama nika msalimia

"inakuje kaka"

"safi nambie janja naona unatoka kwa watoto wa masaki"

nika mwambia amna ndo home hapa
nilisha ngaa kumuona dereva akibadilika sura na kuweka sura ya mshangao .....!!

"we dogo acha masiala huyu mshua anayekaa humu ndo baba ako au..........?

Amna ni mjomba wangu kwani vipi unamfahamu...?

"huyu jamaa namfahamu vizuri tu jamaa ndo aliye..................?"

alikatisha maneno baada ya kusikia honi ya gari

"nambie basi ndo aliye fanyeje"

"unajua nini mdogo nitafute siku nikupe story nzima ya huyu mzee ni hatari kuwa nae makini........kwani unaenda wapi saizi....?"

alinishtua sana kwa yale maneno yake
nika mjibu nipeleke HORENA HOTEL kuna mtu ananisubiri pale

"daaaa dogo upo vizuri mana ile hoteli awaingii watu wa ovyo ovyo pale wanaenda watu wazito alafu hata mjomba wako ndo hoteli yake ile ya kufanyia ma............?"

nilishangaa kumuona dereva akiendelea kukatisha maneno nika mjibu basi sawa nitakutafuta tuongeee vizuri.

aliwasha gari lake na kulitoa kwa kasi sana dakika 20 hazikufika tulikua tumesha fika pale hotelini nili shangaa sana kuona magari ya kifahari aina tofauti tofauti yakiwa yamepaki pale nje ile natupa macho niliona kikosi cha wazee wamevalia suti nyeusi wapo na wake zao nika muuliza dereva wale ni kina nani.

hao ndo wazee wa jiji wanajiandaa kwenda kwenye harusi ya rafiki yao itakayo fanyika south afrika kesho kutwa leo wana fanya ibada yao mwisho...........!!!!

"ibada ya mwisho ? ibada gani inayo fanyika hotelini ? nilimuuliza swali....!!

wakati anajiandaa kujibu alikuja mlinzi na kutuamuru kufatakile kilicho tuleta nikamlipa dereva hela yake nikaingia zangu ndani.
wakati nipo kwenye ngazi nilishangaa kuliona gari la mjomba pale nje.ila nikajisemea pengine amelipaki tu na yeye ame enda south, nikaendendela na mishe yangu nikapanda juu mpaka chumba namba #967 alipo kuwa sethi,

ile nafika mlangoni kwenye chumba cha sethi nilishangaa kumuona mjomba na mkewe na wenzie wakiingia chumba namba #966 tulikutana uso kwa uso lakini hamna aliye msemesha mwenzake nilendelea na shughuli zangu na wenyewe na zakwao.

nilipo fika ndani ya chumba kilikua chumba kweli yani kizuri alafu kikubwa kuna ac ya kutosha wakati nikiendelea kushangaa nilishngaa nimenyakuliwa juu juu mpka kitandani na sethi alikua na furaha sana kunioña nipo pale.vitendo tu ndio viliongea mana kila mtu alikua na hamu na mwenzake. tulivamiana na kuanza...............

ITAENDELEA

Post a Comment

0 Comments