Recents in Beach

header ads

JINI MAHABATI - 4



Chombezo : Jini Mahabati
Sehemu Ya Nne (4)

ILIPOISHIA
Radhia alikuwa akimuheshimu sana huyu dada hivyo aliamua kujishusha na kumsikiliza. “Njia rahisi ni kuripoti swala hili kwa wazazi au viungozi wa dini. “Sasa shosti unahisi nitaanza vipi kuwaambia wazazi swala hili alihoji Radhia. “Mimi nitakusaidia alisemam mfanya kazi huyo nahapo hapo hali yake ikaanza kubadilika.Alihisi kama kuna kitu kizito kimemkaba shingoni.****
SONGA NAYO.
Akatulia tuli na wala hakuweza kusema neno lolote. “Vipi mbona umenyamaza kimya hivyoo nini kimetokea? aliuliza Radhia mara baada ya kuona binti huyo ametulia tuli huku mkono wake ukiwa shingoni. Alishika shingoni kama mtu aliyepatwa na matatizo kwa ghafla.Binti yule hakutaka kuongea zaidi alinyanyuka pale na kuondoka kueleka chumbani kwake.Radhia hakutaka kujiuza maswali mengi maana alijua tayari vile viumbe vilishamzuru kwa sababu alionesha ishara za waziwazi kuwa alikuwa akitaka kuwafutilia.Radhia akazidi kupata mfadhaiko wa nafsi na kuingiwa uwoga. Akaanza kujiuliz amswali yasiyo na majibu. “Kwa staili hii hakuna jinsi itabidi nikae hivi hivi mpaka hapo wao wenyewe watakapokubali kuniachia na kuniruhusu niishi maisha ya kawaida kama watu wengine, alijisemea Radhia
.
“Alafu tazama ni mwezi wa sita huu sijawahi enda hedhi na hata nikifanyaje mapenzi sipati mimba hivi hiki ni nini aliwaza Radhia. Ila hii ya kutokwenda hedhi inabidi niende hospitali nikapate ufafanuzi kidogo maaana huenda hausiani kabisa na haya mengine yanayotokea aliwaza Radhi huku akinyanyuka na kwenda bafuni.Akaoga haraka haraka na alipotoka akavaa nguo tayari kwa kwenda kwa daktari.Yaani Radhia alikuwa ni kama mtu aliyechanganyikiwa maana yeye akiwaza kitu chake saa hiyo hiyo anataka kukitekeleza bila kuagalia kama inawezekana au la. Akachukau simu yake na kumpigia mama yake. “Helom my mamy, howa are you” , its fine my daughter alijibu mama yake kwa lugha hiyo ya kimombo .Baadda ya muitikio wa salamu hiyo ya kizungu Radhia alieleza moja kwa moja kuwa alihitaji kuonana na dakatri ambaye anahusika na magonjwa ya wanawake.

“Kwani unatatizo gani mwanangu nieleze tu husiwe na hofu nitakusaidia alifafanaua mama yake huyo. Na matatizo ya hedhi mama yangu yaani sku hizi tumbo langu linauma sana nikiwa kwenye siku hizo alisema Radhia. Aliamua kusema uwongo maana aliogopa akimwambia mama yake kuwa eti hazioni siku zake kwa mda mrefu mama yake angeingiwa na hofu na kuhisi labda binti huyo ameshapata ujauzito. “Ok ngoja niongee na daktari dakaika mbili nakupa jibu alisema mama yake na kukata simu. Kweli baada ya dakaka mbili mama yake akapiga simu na kumpa maelekezo.

“Sasa mwanangu nataka uende hapo first and last herbal clinic kwa dakatari bingwa wa mambo hayo alisema mama yake. “Sasa nitafikaje huko mama yangu alihoji Radhia kwa sauti ya kudeka. “Ungekuwa hujapoteza leseni yako ningekwambia huende mwenyewe na hiyo gari ndogo lakini kwa kuwa ni aibu mtoto mwenye heshinma kama wewe kusumbuana na trafiki basi ntakutumia dereva hapo sasa hivi alifafanua mama yake. Radhi akatabasamu kisha akamwmbia its ok my mom (ni swa mama yangu).

Baada ya simu hiyo Radhia akafungua begi lake na kaunza kutafuta nguo ya kuvaa.Kama kawaida yake alimwaga nguo zote kitandani na kuanza kujaribisha moja baada ya nyingine utazani labda nguo hizo zote zilikuwa ni mpya.Kwa mbwembwe akachangua kimini kilichokuwa kinambana vizuri. Hii sijaivaa siku nyingi sana ngoja leo nikawape tabu wagonjwa na madakatari aliwaza binti huyo mara baada ya kujaribisha nguo hiyo na kuona kuwa ilikuwa imemshika vilivyo. Akajiangalia angalia mara mbili mbili kabla ya kujiridhisha kuwa ilikuwa inafaaa.

Akavaa na akawa tayari kwa mtoko.Akakumbuka na pia zile dolari hivyo akachuka noti kadhaa kwa minajili kuwa akitoka hospitali atamuomba dereva amptishie mahali akazichenji. Akaendelea kusubiri subiri kwa nusu saa zaidi kabla ya kusikia honi ya gari ikipiga huko nje.Akategea aone kama yule mfanyakazi wao ataenda kufungua au la. Ile honi ikaendelea hivyo na ilimlazimu Radhia kwenda kufungua mlango.Akamkuta ni dereva yule wa ofisini kwa mama yake ambaye alikuwa ni raia wa kenya. Alimkumbuka mzeee huyo maana alikuwa akimwendesha mam yake tang ayeye akiwa mdogo. “Shukamoo uncle Onyango, alisalimia Radhia mara baada ya kufunua geti. “Marahaba mwanangu, duuuu umekuwa sana” alisema dereva huyo huku akiisha macho yake kwa haraka sehemu za mwili wa binti huyo. “ Kweli siunjauamiaka inaenda mbio sana alisema Radhia kwa sauti yake ile ya manjonjo

Radhia akapanda kwenye gari tayari kwa kuondoka. Ile dereva anaondoa gari, Radhia akakumbuka kuwa yule mfanyakazi wao alipatwa na majanga mda ule walioanza kuongea habari za wale viumbe. “Uncle ebu ngoja mara moja kuna kitu nimesahau alisema Radhia na kusababisha gari lisimamishwe na yeye akashuka.Akaingia ndani na akaenda moja kwa moja mpaka kwenye chumba cha binti huyo.Akamkuta binti huyo akiwa bado amelala.Akamtingisha tingisha mara mbili lakini binti yule alibaki kujigeuza geuza tu huku mkono wake ukiwa bado umeshika sehemu za mbele za shingo yaani kooni.

“Sasa atakuwa amekumbwa na majanga gani masikini ya mungu” alijisemea Radhia huku akipiga piga miguuu chini ishara kuwa alikuwa amechanganyikiwa kutokana na tukio hilo.Akamtingisha tingisha tena lakini safari hii binti huyo aligeuka na kumwangalia tu bila kuonge kitu. Ilionekana ni kama mtu aliyepatwa na majanga mana shingo ilionesha kukaamaa. “Sasa hapa badala ya mimi kupelekwa hospitali itabidi huyu binti ndo apelekwe” alijisemea Radhia.Akachukua simu na kumpigia dereva kuwa aingie ndani mara moja kuna tatizo. Dereva akafanya kama alivyoagizwa. Ile Radhia anakata simu tu ule mtekenyo mtekenyo wake wa huba ukamuanza.Akajikaza kidgo maana alishindwa kuelewa kwa nini hali hiyo itokee wakati jana usiku alipata dozi na pia asubuhi yake alipata tena kwa watu tofauti. Muwasho ukakolea hivyo Radhia akajikuta anatoka kule chumbani kwa mfanyakazi wao na kuenda chumbani kwake.

Alivyofika akajibwaga kitandani na kuanza kusikilizia kile kitu ambacho huwa kinamsumbua sana.Kama kawaida na bila kutarajia akajikuta anapunguza baadhi ya nguo ili aweze hata kujikuna na kupunguza muwasho. Dereva akaingia mpaka sebuleni na hakuona mtu hivyo akaanza kuita kwa nguvu “Radhia Radhia upo wapi na nini kimetokea” Radhi aaliisikia ile sauti lakini hakuweza hata kuijibu yeye alikuwa bize kuangaika na hicho kilichomkumba dakika chache tu.Kukakaa kimya kwa Radhia kukazidi kumtiia hofu mzee huyo akajikuta anazidi kuita huku akisogea kwenye chumba cha Radhia. Radhia akawaza haraka haraka na kuona huyo huyo mzee ndo atakaye mkuna. Akapandisha kile kimini juu kidogo kisha akajilaza pale kitandani kwa tumbo. Sehemu kubwa ya mapaja ya binti huyo yenye utamu utamu wa huba yakabaki juu. Radhia akajua kabisa kwa staili hiyo lazima yule mzee dereva atanasa tu.

Mzee alipoona kimya akaona isiwe tabu ngoja asogee zaidi kwenye chumba hicho maana huenda binti huyo amepatwa na matatizo. “Hodi hodi, alibisha mzee huyo lakini Radhia hakujibu kitu zaidi ya kukaaa kimaya. Mzee akajipa ujasiri wa kiutu uzima akapiga hatua za haraka haraka na kuingia kwenye chumba hicho.Akakaribishwa na michirizi mizito kwenye mapaja ya binti huyo.Mzee macho yakamtoka kama mjusi aliyebanwa na mlango.Kurudi alipotoka akashindwa na pia kusonga mbele akashindwa akazidi kushangaa. Radhia kwa utundu aliokuwa nao akapiga kelele za mlalamo kama mtu aliyepatwa na majanga fulani. Alionesha kama analia huku akishika mguu wake..

“Tatizo ni nini? aliuliza yule mzee huku akimsogelea” “Nisaidie nisaide please alijibu Radhia huku akioneha mkono wa kumwita ishara kweli alikuwa akihitaji msaada wa haraka. “Msuli , msuli umenishika alisema Radhia mara baaada ya huyo mzee kumsogelea. Mzee wa watu kwa kuwa alikuwa ni mwana michezo anayejua maumivu ya misuli alijikuta akianza kumpiga piga kwenye mapaja ili kuondoa maumivu hayo ya msuli..Hapo Radhia akapata nafasi nzuri ya kupandisha zaidi kinguo chake na kutoa maelekezo kuwa apigwe pigwe sehemu ya juu. Mzee alishangaa maana sehemu hizo alizoambiwa azipe tiba hazikuwa zenye msuli bali steki zilizonona kama ndafu ya sikukuu.Radhia akajigeuza kwa nguvu na kumvutia mzee wa watu kitandani.


Ilikuwa hakuna cha kusema subiri nizime taa wala nini,Radhia alimkunja mzee huyo utazani alikuwa akimdai. “Wewe mtoto una nini alilamika mzee huyo wakati Radhia akifanya yake. Safari hii hakutaka mbwembwe alipitisha mkono kwenye bustani ya mzee huyo na kuanza kutafuta mlinzi wa bustani hiyo. Akakutana na kirungu cha mmasai kilichosimama vizuri tayari kwa kukamata mwizi. Radhia akakichomoa hicho kirungu cha siri na kukileta juuu. Mapigo ya moyo ya mzee huyo yakaongezeka. Uchu wa kutaka kuonja utamu utamu wa vanilla ukamkolea lakini woga nao ulimjaa maana alihisi kuwa alikuwa akitegwa. “Yaani kama nyumba hii na yenyewe imetegwa kamera basi ndo mwiso wa kazi yangu” alijismea mzee huyo kabla ya kutoa ushirikiano ambao Radhia alikuwa akiuhitaji..

Wakaanza purukushani za hapa na pale za kuwekana sawa. Mzimu wa Barike ukawa kama umewapanda wote maana sio Radhia sio huyo mzee wote walikuwa na uchu wa ajabu.Nusu, nusu kama wimbo wa Joh Makin ndo ilikuwa staili ya mda na wakati kama huo. Kulikuwa hakuna haja ya kuvuana nguo zote, bali ilikuwa ni kutafuta tu upenyo ambao ungeruhusu kushare vitu waivyonavyo. Yani kama ni huduma ya internet basi walikuwa wakitafuta sehemu ambayo ilikwa na high speed ya 4G. Kukurukakara za mda mchache hata usiozidi dakika moja ulitosha kabisa kutimiza walichodhamira kukifanya. Tayari sindano ya dereva ilikuwa ndani ya nguo ya Radhia ikishona kwa madahaa na ufundi wa kizamani.

Kama unavyoju ang’ombe hazeeki maini na uzee mwisho Chalinze mjini kila mtu darling.Mzee akafanya yake huku akifanya fujo ili awahi kumaliza hasije akakutwa hapo. Mauno ya ngono ya bint huyo yakamchanganya kabisa maze wa watu akahisi amerudishwa enzi za mkewe akiwa mbichi kama nyanya ng’ong’o. Radhia naye kwa kuwa alikuwa anajua mzee huyo ni dereva mzuri basi na yeye akaweka mazingira mazuri ili mzee huyo aweze kucheza vizuri na gari yake. Yaani alikaa mkao ulioruhusu kuingiza na kutoa gia.. Ile mzee anataka kupiga honi alisikia kama mtu akija kwenye chumba hicho.

Wote kwa pamoja wakatulia ili kusikiliza ni nani atakuwa anakuja.Hakukuwa na dalili yoyote kuwa kuna mtu alikuwa anakuja. Radhia akaamua kuhakikisha hilo kwa kujinyanyua pale kitandani na kwenda moja kwa moja mpka mlangoni kuhakikisha je ni nani alikuwa anakuja bado hakuona mtu. Kwa haraka haraka akajua ni vituko tu vya jinni mahaba. Radhia kwa kuwa ule muwasho wake ulikuwa bado haujaisha hivyo akaamua kurudu ndani.Akaamua kufunga kabisa mlango.Alishangaa kumkuta dereva akianza kuvaa nguo zake ambazo zilikuwa vimevuliwa kimtindo. Radhia hakutaka eti kumwacha mkunaji aondoke wakati kwanza muwasho wake ulikuwa haujaisha.Akamkrupukia na kumvamia pale kwenye kifua na kuanza kumpapasa papasa sehemu hizo.

“Tafadhali Radhia naomba tuende tu hospitali maana huo ugonjwa wako mimi siwezi kuutibu” alisema mzeee huyo. “Raundi moja tu tafadhali alafu ndo tuende huko hospitali” Radhia aliasema huku akimwangalia kwa macho ya kusinzia.Aliyakumu sio matusi mzee wa watu alikuwa kanogewa na utamu alioonjeshwa.Baada ya kuona mlango umefungwa akajua kutakuwa na usalama wa kutosha hivyo akaamaua kutenda tena dhambai ya kuzini kwa mara ya pili. Mzee alifurahishwa sana na utamu wa binti huyo na hakuamini eti siku moja angeweza kufanya naye mapenzi kwanza kiumri alikuwa amemzidi mbali sana.Wakaendelea kufanya upuuzi wao huku mzimu wa Barike ukiwa pembeni ukisubiri tu mzee afunge bao na wao waondoke na mpira wao.

Kumbe ule mshindo mdogo wa mtu kutembea ulikuwa ni wa binti yule mfanyakazi amabye aliamua kutoka na kuenda choooni. Shingo ilikwa bado imemekakamaa na alikuwa akipatwa na maumivu makali sana.Aakiwa chooni kuna sauti nyororo ilimjia masikioni mwake. “Twajua hauna makosa na tulikuwa tunakupa honyo tu kuwa kamwe husijaribu kumfuatilia Radhia yatakukuta makubwa zaidi ya haya”Kisha ile sauti ikaondoka na kumfanya yule binti kukurupuka kutoka huko maliwatoni.Akajaribu kugeuza geuza shingo yake na kukuta ipo sawa na wala haimuumi tena. Ile sauti ikawa bado inamrudia rudia hasa kile kipengee kuwa hilo ni onvyo.

Binti huyo akaamua kukaaa pale sebuleni na alisema Kwame hatomuuliza kitu Radhia ata kama aakiona anafanya mapenzi na baba yake. Akiwa hapo sebuleni alishangaa kuona mlango wa chumba cha Radhia ukifunguliwa na akatoka binti aliyeridhiwa huku macho yake yakiwa yameorojeka utazani labda alitoka kwenye usingizi mwororo , usingizi ulioambatana na ndoto pevu. Radhia akamuuliza vpi umepona?. “Nimepona wangu na nimepewa dawa na ndugu zakoo. “Dawa na ndugu zangu?” dawa gani, ndugu wapi? Alihoji Radhia kwa taharuki na mshangao hasi. “Usishangae saana dawa yenyewe ni ovyo na ndgu zako ni hao wanaokutuma kufanya hayo unayoyafanya” binti huyo alisema huku akiwa bado na wasiwasi kuwa huenda shingo ikakamaa tena kutokana na hiyo kauli aliyoitoa.

Radhia akampa ishara kuwa aende chumbani kwake mara moja.Lakini ishara hiyo haikueleweka na binti huyo akaendeea kukaa pale sebuleni. “Naomba uingie chumbani kwako mara moja kuna mgeni wangu anataka iangie na sitaki akuone ilibidi Radhia adanganye ili aweze kumtoa yule dereva kule chumbani kwake. “Kuna mgeni wako anataka aingie au kuna mgeni wako anataka atoke aliwaza binti huyo na kunyanyuka zake na kwenda chumbani.Basi hiyo ikawa nafasi nzuri ya baba mtu mzima kutoka chumbani kwa Radhia. Radhia akabaki ndani akoana kutoka huku akiwa na shombo la mapenzi sio jambo zuri hasa kwa yeye mtoto wa kike mwenye kujijali na kujipenda.

Akakimbila bafuni akaoga haraka haraka kisha akatafuta nguo zingine za kuvaa.Sa hivi aliamua kuvaa gauni refu tena ni lile lilomchnganyaTariq siku ya kwanza anaripoti chuoni. Lile gauni likuwa ni refu lakini linamnaba na kuonesha mautamu yake.Mimi napenda kuziita nguozenye heshima zisizokuwa na heshima.Akatoka akamuaga yule binti mwingine kuwa anaenda hospitali.Wakaingia kwenye gari nasafari ya kwenda hospitali ikaanza.Wote kwenye gari walikuwa kimya sana huku Radhia bado akiendelea kuvuta taswira ya mambo ya kipuuzi aliyafanya siku mbili hizo tu tangia aanze likizo yake. “Sasa nikiendelea hivi sinitawamaliza wanaume wote Radhia aliwaza huku akimwangalie yule dereva. “Aka kazee nacho inaelekea enzi zake kalikuwa ni hatari sana yaani watoto wa kike walikuwa wakimfaidi sana.Aliendelea kuwaza na kuwazua binti huyo.

Walifika hospitalini na moja kwa moja Radhia alishuka na kuingia kwa huyo dakatrai bingwa wa magonjwa ya wanawake. Alikuwa na hamu ya kujua kwa nini haoni mzunguko wake wa hedhi kwa mda mrefu sana au ndo tayari anaujauzito wa kijini. Akasema atajaribu kumueleza vitu vinavyomsumbua daktari huyo ili aone kama anaweza kumsaidia. Wakati anaingia tu simu yake ya mkononi ikaita.Kuangailia ilikuwa ni Tariq akipiga. Radhia akasita kuipokea. Mara ukaingia ujumbe mfupi wa maneno ukimueleza kuwa apokee simu kwani Tariq ana matatizo mazito.

Meseji hiyo ilimshtua sana Radhia na kujiuliza atakuwa amepatwa na nini tena.Akawaza haraka haraka akaona ngoja kwanza aonane na daktari alafu akitoka ndo atampigia.Akaingia kwenye chumba cha daktari.Akapewa ishara akae tayari kwa kupewa huduma. “Karibu sana binti unaweza tu kueleza tatizo lako” ilikuwa ni sauti ya pili ya daktari mara baada ya ile ya kwanza iliyohusu salamu. “Radhia akamwangalia kwa macho yake ya huba kabla ya kusema kuwa ana matatizo makubwa sana na hauji aanzie wapi kueleza.Dakatari huyo akatabasamu na kumwambia anzie mwanazo tu.
“Dokta mimi nimekua nikisumbuliwa na tatizo la kutoona siku zangu kwa mda mrefu sana na nimekua na wasiwasi sana. Ndo nimekuja kupata ufafanuzi kutoka kwako. “Vizuri sana vipi unashiriki tendo la ndoa kwa mda wote huo wa tatizo” aliuliza dakatri. “yeah nashiriki lakini sizani kama ni tatizo Radhia alijibu. “Yeah sio tatizo nimesema hivyo kwa maana labda unaweza kuwa na mimba daktari huyo alijaribu kufafanua. “Kwa hiyo daktari ukiachilia mbali kuwa ni dalili ya mimba kitaalamu tatizo la kutopata hedhi kwa mda mrefu linakuwaje Radhia aaliuliza.Swali zuri sana dokta alijibu huku akikaa vizuri kwenye kiti chake cha kuzunguka zunguka na kuanza kutoa darasa kidogo juu ya tatizo hilo.
“Tatizo la kukosa hedhi ni jambo ambalo linawakumba wanawake wengi waliovunja ungo. Aidha suala hili limekuwa likiwaletea usumbufu mwingi wa kisaikolojia wanawake wengi waliowahi kukumbana nalo.Tatizo la kukosa hedhi au amenorrhea linaweza kutokea awali kabisa (primary) au baadaye kabisa maishani (secondary).Primary amenorrhea ni hali ya kukosa hedhi inayoweza kumtokea msichana aliye katika umri wa kuvunja ungo na ambayo huweza kuendana na hali ya kukosa mabadiliko ya kubalehe kama vile kuota matiti au nywele za sirini; au msichana anaweza kuwa na mabadiliko ya kubalehe lakini asipate hedhi. Hiyo ni ya kwanza lakini ya pili ni hivi akakoa kidogo na kupiga pafu moja la maji ya kunywa huku akimwangalia binti hyo kwa macho ya matamanio. Ujue tatizo jinni Barike aliambiwa aongeze spidi hivyo alikuwa akiwafanya wanaume wachanganyikiwe pindi wakutanapo na Radhia. Sasa hapa dokta alishaanza kuyumba badala ya kueleza kwa kina tatizo la Radhia. Basi akaendelea kwa kusema hiyo hali ya pili inayoitwa sekondari amenorrhea.

“Secondary amenorrhea ni hali ya kukosa hedhi inayomtokea mwanamke ambaye si mjamzito, hanyonyeshi, na ambaye hajavuka umri wa kukosa hedhi (menopause) na wala hatumii njia za uzazi wa mpango kama vile sindano au vidonge, na ambaye hapo awali alikuwa akipata hedhi kama kawaida lakini akasimama kwa miezi mitatu au zaidi.
“Eeeeeh hiyo ndo linalonikumba mimi”alidakia Radhia.
“Ni kweli unaweza kuwa kwenye kundi hili lakini ngoja nikueleze jinsi hedh inavyotokea…
“Sawa dakatari nileleze jinsi mwanamke anavyopata hedhi .
“Ili mwanamke aweze kuwa na mzunguko ulio sahihi wa hedhi, ni lazima matezi yake ya hypothalamus napituitary pamoja na kiwanda cha kutengeneza mayai ya kike (ovaries) na mji wa mimba (uterus) vifanye kazi zake sawasawa”Dakatari huyo alifafanua kwa mbwembwe za kitaalamu.
“Sawa daktari nimekulewa lakini hujanambia Amenorrhea husababishwa na nini?Radhia aliendelea kuuliza maswali yake ya udadisi.
“Visababishi vya amenorrhea vyaweza kugawanywa katika makundi makuu matatu, vile vinavyohusisha matatizo katika mfumo wa homoni, vile vinavyohusisha matatizo ya kimaumbile katika njia ya uzazi ya mwanamke na vile vinavyohusisha mabadiliko katika mwili wa mwanamke”.Alifafanua daktari huyo.
“Matatizo katika mfumo wa homoni yanaweza kuwa katika tezi za hypothalamus, pituitary au ovary. Matatizo katika hypothalamus yanayoweza kusababisha mwanamke kukosa hedhi ni pamoja na(Uvimbe katika ubongo karibu na tezi ya pituitary,Ukosefu au upungufu wa homoni zinazochochea kukua na kufanya kazi kwa via vya uzazi,Lishe duni na utapia mlo pia bila kusahau Uzito mdogo kuliko kawaida (kukonda kwa kupitiliza) vyote hizi vya weza kuwa ni tatizo
“Matatizo Vyanzo vinavyohusisha tezi ya pituitary ni pamoja na Kuwepo kwa kiwango kikubwa cha homoni ya prolactin katika damu au kwa kitaalamu Prolactinemia. Prolactin ni homoni inayochochea uzalishaji wa maziwa wakati wa kunyonyesha. Hali ya kuwa na prolactin nyingi katika damu inaweza kutokea iwapo kuna uvimbe unaoitwa (prolactinoma) katika tezi ya pituitary.Kuwepo kwa uvimbe mwingine wowote katika tezi ya pituitary,Pituitary kushindwa kufanya kazi baada ya seli zake kufa, hususani iwapo mama alipoteza damu nyingi wakati wa kujifungua,Kuharibika kwa tezi ya pituitary baada ya seli zake kushambuliwa na mfumo wa kinga ya mwili vyote kwa pamoja vinachangia tatizo la kutopata damu ya hedhi.Kuwa na historia ya kupata tiba ya mionzi inayohusisha tezi ya pituitary. Nayo pia huachangia.Hapo Radhia akawa anasikiliza haelewei na tayari ule muwasho wake ulishanza kumsumbua.
“Kitu cha mwisho ambacho ningependa kukifafanua ni Matatizo katika ovary”Daktari alisema huku akiamkazia macho Radhia mana alikuwa kama amebadilika ghafla. Alikuwa amelegea sana kama mtu ambaye alipandishwa hisia za mapenzi na kuachwa bila kupewa dozi.
“Vipi tupo pamoja? aliuliza daktari huyo.
Radhia akawa kama ameshtuka kutoka usingizini na kumwambia “endelea”.
“Vyanzo vinavyohusisha matatizo katika viwanda vya kuzalisha mayai ya kike yaani ovaries ni pamoja na Kutozalishwa kabisa kwa mayai (Anovulation),Kuwepo kwa kiwango kingi cha homoni za kiume katika damu(Hyperandrogenemia),Ovary kuwa na vifukovifuko (Polycystic ovarian syndrome) na kushindwa kufanya kazi zake vizuri. Haya ni matatizo ya homoni ambayo huwapata baadhi ya wanawake walio katika umri wa kuzaa”alisema dokta huyo.
Radhia aliendelea kukaa kimya hivyo daktari akaendelea kuonesha utaalamu wake. “Pia kuna sababu zingine kama Kufa na kushindwa kufanya kazi kwa ovary kabla ya muda wake bila kusahau,Ugonjwa wa kuzaliwa unaoitwa Turner syndrome ambao huambatana na kukosekana kwa ovary au ovary kuwa changa kuliko kawaida, msichana kushindwa kuvunja ungo na msichana kuwa na kimo kifupi kuliko kawaida. Ugonjwa huu hutokana na matatizo ya kijenitikia (geneticdisease).
Sijui hata huyu dakatari kwa nini aliamua kueleza vitu vyote hivyo hlli hali mwenzake alikuwa katika hali mbaya na alitamani dokta amwambie amchunguze hasa hizo sehemu za muwasho. “Alafu daktari mbona matatizo ya ovary yamekua na maelezo mengi alijaribu kusema Radhia ili dokta huyo akatishe maelezo na ikibidi ampe dawa ya mshawasha uliokuwa ukimsumbua

Basi dokata na yeye akawa haelewei lugha za binti huyo akajua kuwa somo limemkolea Radhia hivyo akaendelea kuuvnja mambo ya kitaalamu.. Kwa hiyo radhia “Ukosefu wa kimaumbile wa ovary ambao hutokea wakati wa ukuaji nayo ni sababu. Pia Kufa kwa ovary baada ya seli zake kushambuliwa na mfumo wa kinga ya mwili,Historia ya kuwahi kupata tiba ya mionzi au madawa yanaathiri ovary.

Kitu cha mwisho ni Ugonjwa wa kurithi wa Galactosemia unaoambatana na kuwa na kiwango cha juu cha sukari aina ya galactose katika damu, alifafanua kisha akaweka nukta na kumwangaia Radhia. “mbona umeonekana umechoka hivyo na unaonesha umekata tama aliuliza dakatari huyo. “Kweli dokta umenileza vitu vingi mpaka nashindwa kujua kama kweli hayo yote yanasababisha mwanamke kukosa hedhi kwa mda mrefu.
“Siyo hayo tu binti mzuri pia Matatizo ya kimaumbile katika njia ya mfumo wa uzazi wa mwanamke yanayoweza kusababisha ukosefu wa hedhi na hayo ni pamoja na Mwanamke/msichana kuzaliwa bila kuwa na uke, shingo ya uzazi au mji wa mimba (uterus).Kuta za uterus zinazotazamana kujishikiza pamoja na Utando unaozunguka uke (hymen) kuziba kabisa na kukosekana kwa tundu la kupitishia damu ya hedhi (imperforate hymen).Daktari huyo akaendelea kuonesha kuwa yeye ni bingwa katika magonjwa hayo ya wanawake.

“Ila dokta mimi nilifikiri labda nina utando unaozuia damu kupita huko ukeni alijaribu kuchangia mada Radhia akiamini dakatari huyo alishamaliza kuelezea. “Hiyo pia ni sababu lakini kuna sababu nyingine ya mabadiliko katika mwili wa mwanamke.
“ Sawa daktari sasa pia kuna muwasho ambao huwa unanisumbua sana sehemu zangu za siri sasa huo labda na wenyewe unaweza kuwa unasababishwa na nini?.Radhia alihoji huku ile hali ya mshawasha wa huba ikizidi kumsumbua na kutamani kumrukia huyo daktari..

“Zipo sababu nyingi lakini huenda labda una fangazai za sehemu za siri.Na hizi nguo zako za kubana na hili joto la dar nahisi inaweza kuwa ni sababu. Maana fangasi wengi na bacteriaawanapenda kukaa sehemu za mwili zenye unyevu nyevu na joto”Dakatari huyo alijaribu kujibu kwa kifupi sana maana alihisi maelezo marefu yalikuwa yakimkera binti huyo. “Lakini hiyo haina shida nitakupa dawa za kusafisha sehemu hizo na utakuwa poa kabisa” alisema dakatari huyo.
“Mimi sitaki kupewa dawa wakati hujanichunguza na kujua kama kweli na fangasi au ni ugonjwa mwingine. Radhia alisema.“Kauli hiyo ilimfurahisha daktari na kuona kuwa hiyo ni nafasi ya yeye hata kula kwa macho mwili wa binti huyo. “Haina shida kama haugopi kuchunguliwa naweza kuifanya hiyo kazi alisema dakatri. “Radhia alitamani kucheka maana alijua kuwa dakatari angemwambia kuwa labda apime mkojo na vipimo vingine. Hapa ni kwamba jini Barike alishaanza kumsababisha daktari kuanza kuondoka nje ya madili ya kazi yake na akataka tu kumchunguza binti huyo.
Yule daktari uzalendo ulishamshinda.Akasimama na kurudishia mlango wake vizuri na kumwelekeza Radhia aingie chumba kingine ambacho kilikuwa na kitanda. Radhia akafuata maelekezo na kuingia chumba hicho.Alimwangalia yule dakatari akajua tayari Alisha mshika maana sehemu za mbele za mwili wa dokta huyo zilishaumuka.Radhia alitabasamu akaingia chumba cha uchunguzi na bila aibu yeyete akaanza kuchooa nguo zake. Dokta akajishauri mara mbili mbili kuwa aingie huko au ampotezee.Dokta maji yakazidi unga akazama huko chumba cha uchunguzi. Alishangaa sana kukuta eti Radhia ameshavua nguo zote na kubadi kama alivyozaliwa. Radhia alikuwa amejilaza pale kitandani kimgongo mgongo huku mabere yake yaliyochongoka vizuri yakiwa juu kama antenna ya Tv ya analogia.
“Mungu wangu ukisikia mitihani ndo hii sasa nani alimwambia binti huyu kuwa uchunguzi mpaka avue nguo zote” alijisemea daktari huyo huku akifanya ukaguzi wa haraka harka kwenye mwili laini wa binti huyo. “Jamani Dokta acha kunichungulia naomba ufanye yako haraka haraka kabla na mimi sijapatwa na hamu” alisema Radhia huku akijibetua kwa juu na kusababisha bustani yake ya sir kuja kwa juu. Dokta sasa ndo akachoka kabisa maana aliona kile kitumbua cha rangi ya kaawia kimeanza kufura utazani kimewekewa amira. Kilikuwa kinapanda juu na kurudi chini utazani klikuwa na tetemeko la ardhi huko ndani. Dokta akasema potelea mbali ngoja ajifaidie maana binti huyo aliyataka wenyewe kwa nini avue nguo zote. Dokta akaenda mwisho wa kitanda na kushika miguu ya binti huyo. “Haya panua vizuri nijaribu kuangalia kama kweli kuna hao fangasi” alisema dokta kwa sauti ya tama ya kuonja utamu. Hapo Radhia akajipanua mpanuo wa sifa.
Dokta akaanza kukaribishwa na harufu nzuri ya marashi kutoka sehemu hizo za bustani ya siri ya Radhia. “Mmmmh huyu binti ana mbwembe kweli yaani mpaka huku amepulizia marashi” alijisema dokata huyo huku akijaribu kupeleka mkono mmoja wa kulia huku mwingne ukiwa umeshika tochi na kujaribu kumulika sehemu hizo. Ilikuwa ni kama mtu anayetafuta kitu kilichopotea sehemu hizo.. “Ebu jipanue zaidi maana sioni kitu alisema dokta huku akizidi kumpapasa papasa Radhia na kumsababishai raha ya ajabu. Mkono wa dokta ukakaribiswa na unyevu nyevu wa mvua ambayo ilishanyesha mda mfupi uliopita. Palikuwa pamelowa sana na kumfanya dokta kuserereka mpaka sehemu za ndani za bustani hiyo. “Hapa ni kumpagawisha na kumpandisha stimu ndo naweza kumkula kirahisi aliwaza dokta huyo huku akianza fujo za kucheza na viungo vya binti huyo.
“Mmmmmmmmmmmmmmhhhhh,,iissssssssssssiiiiiiiiiiih dooooookkkkkkktaaaaaaaa” unananiiiiii” Radhia alilalama kabla ya kujigeuza kwa nguvu na kusababisha makalio kupanda juu. Kijungu mchongoko chake kikaonekana vizuri.Dokta akazidi kuchanganyikiwa na hakutaka kuremba akaanza kufungu zipu ya suruali yake. Radhia alikuwaa kimwangailia kwa jicho la wizi wizi. “Please dokta usifanye hicho unachotaka kufanya maana sio dawa ya fangasi alijaribu kujibaraguza binti huyo ili hasionekane ni Malaya. “Usijali hii sio dawa ya fangasi bali kuna kitu nimegundua pembeni ya mashavu yako ya ikulu hivyo ngoja nikupe dawa”alisema dokta huku akitoa kirungu cha mmasai tayari kwa mapambano. “Sasa ni kitu gani hichoo si uniambie tu kabla hujanipa hiyo dawa” Radhia alizidi kumwibia mawazo dokta wa watu.
“Kuna kiuvimbe kidogo hivyo nataka nikisugue kwa nguvu” alijibu daktari na kuanza tena ule mchezo wa kucheza na sehemu hatari za Radhia. Sawwa tu dokta wewe nipe dawa japo naogopa mwenzio sijawahi kufanya mchezo huo” alisema Radhia na kumvuta dokta huyo kwa nguvu. Akili ya kawaida ikazidiwa na akili ya ngono na hila za mzimu wa jii mahabati. Wakati wameanza tu kuchakachuana mara

Mara Radhia akaanza kujinyonga nyonga na kujikunja kunja kama samaki akiwa kikaangaoni.
Dokta ilibidi atulie kwanza ili kushuhudia mbwemmbwe za binti huyo zilizoongozwa na mzimu
wa jinni Barike.Doctor akatumia taaluma yake kugundua kuwa binti huyo alikuwa na mizuka
mingi kuliko ilivyokawaida hivyo ikabidi ampunguze kasi kwa kumpa romance ya nguvu.
Alitaka kumfikisha kileleni kabla hata ajaingiza nyoka wake pangoni mwa Radhia.Dokta
akaanza na bustani ya siri ya binti hiyo.Akamchezea sana vya kutosha mpaka Radhia akawa hoi
bin taaban.Dotka alikuwa amemlaza kwa tumbo akawa anacheza sana na makalio yake. Akawa
anafanya ule mchezo wa kupitisha upanga wake kwenye mfereji unaotenganisha tikiti la kulia na
lile la kushoto.
Dokta kwa mbembwe akanyanyua ile sehemu inayotenganisha njia kubwa na ndogo na
kuichezea chezea.Radhia akazidi kujinyonga nyonga huku akifaidi ufundi huo wa dokta.
Hakujua hata nyoka ameingia saa ngapi pangoni. Dokta akafanya mchezo ule ule wa wanaume
wengi wanaojua mapenzi yaani kusugua sehemu za juu za ikulu, kuta, katikati na sehemu za
mwisho.Pamoja na kufanya hivyo kwa mda mfupi lakini ndo kwanza binti huyo alikuwa anataka
tena.Alipandisha midadi na alidiriki kumwambia aongezee spidi hapo ikampa taarifa dokta kuwa
Radhia alikuwa na ugwadu sana hivyo ilimlazimu kutumia staili nyingi ili kumrizisha.Hapo
dokta akaanza na staili inayoitwa flatiron kwa lugha ya kizungu yaani alimlaza kwenye kile
kitanda cha kuchunguza wagonjwa huku uso wake ukiangalia chini na makalio kupanda
juu.Hapo Radhia akaonesha kuwa ata yeye ni mtaalamu kwenye mambo hayo maana alibinua
nyonga juu kama mende ndani ya kabati.
Dokta akapitisha mkono sehemu za tumbo na kufanya mbinuko mkubwa wenye kugusa mapaja
ya dokta huyo.Hapo Radhia alianza kurelax na kufurahia tendo hilo na kwa kuwa miili yao
ilikuwa imebanana mashine ya dokta iliweza kutwanga na kupepeta vizuri.Utamu njoo utamu
kolea dokta akasahau kuwa amevunja maadili na kuzini na mgonjwa wake .Dokta akahisi
kufunga bao kwenye nyavu za Radhia hivyo akataka kuepusha mimba kwa kufunga bao hilo
kwenye nyavu za nje. Alihisi kama ametoa tu upepo hivyo ikamlazimu kuangalia mpira huo
ulienda wapi. Mpira uliofunga bao haukuonekana na hivyo ilimaanisha jini Barike au mahabati
kwa umaarufu wake alishachuku manii hizo. Dokta alikua amechoka hivyo alianza kuvaa nguo
zake huku akimpa ishara binti huyo kuwa matibabu yameisha hivyo anastahili kuondoka. Radhia
akajinyanyua kwa nguvu pale na akasimama na kumshika dokta mabegani, dokta akageuka kwanguvu na tayari Radhia akamvamia kumaanisha kuwa alikuwa bado hajarizika. Wakajikuta
wakianza kupeana tena juisi ya miwa huku wakiwa wamesimama.
Huyu daktari kweli na yeye alikuwa kiboko maana hakutaka kuchelewesha hivyo hivyo
wamesimama alimwambia Radhia anyanyue mguu wake wa kulia auweke kwenye kiuno chake
na yeye akaushikilia mguu huo ili kumpa balance kisha mkono mwingine akawa ameshika
mgongoni hapo aliweza kumwingilia na mchezo ukaendelea.Staili hii wazungu wanaiita Ballet
dancer.Hii staili iliruhusu na kuwapa nafasi ya kuangaliana uso kwa uso huku miili yao ikipeana
hashksi za kila aina. Kweli mizimu ya jinni Barike ilikuwa ikiwatuma vibaya maana mchezo huo
ulifanya mpaka mikasi kuanza kushangilia.Gloves na dawa pia zilipiga makofi kumpongeza
dokta kwa huduma aliyokuwa akitoa kwa mgonjwa mtukutu aliyeshindwa na wanaume wengi.
Kwa kuwa Radhia hakuwa mtu wa mazoezi sana alianza kuhema na kuonesha alikuwa
amechoshwa sana na staili hiyo.Hapo dokta alimbeba juu juu na kumrudisha kitandani. Kitanda
kikayumba yumba kidogo siunajua tena hivi vitanda vyetu vya hospitalini.Kuyumba kwa kitanda
hakukumaanisha kuwa daktari angesitisha zoezi la kumtibu Radhia.La hasha Dokta aliinama
kwa chini akaweka matairi sawa na kitanda kikatulia yaani kikaacha kucheza cheza.Hapo dokta
hakutaka ajilaze akamuulekeza akae staili ya Leap Frog au kwa wale waliozoea doggy style ni
mkao wa namna hiyo ila hii inakuwa tofauti kidogo yaani alimwambia Radhia ainame alafu hips
na makalio yake ainue juu kabisa na kuruhusu dereva kuendesha gari kirahisi.
Dokta akapiga magoti miguu yake ikaenda mbele kidogo na ya Radhia ikarudi nyuma.Hapo
Radhia akawa amepumzisha kichwa chake kwenye mto huku akizungusha nyonga na dokta
kuingiza sindano yake yote kupata damu ya ndani kabisa kwa ajili ya vipimo vya mgonjwa huyo
aliyeshindikana. Dokta akafanikiwa kugusa zile sehemu zilizohitajika kwa ajili ya vipimo vya
ugonjwa huo ambao alikuwa akiumwa Radhia. Radhia alifurahi sana kwa sababu alikuwa
amekunwa sehemu ile sumbufu sana. Kila mtu akavaaa nguo zake tayari kwa kutoka kwenye
chumba hicho.***
Kikao kingine kinafanyaika huko ujinini kutasmini kazi na mipango mingine waliyojipangia.
Baada ya agenda zingine kujadiliwa sasa ilikuwa ni ajenda ya mpango wa kuzalisha watoto
wenye mchanganyiko wa binadamu na majini.Kumbuka lengo ni kupata viumbe shombe shombeambavyo vitashiriki katika kutengeneza utawala wenye nguvu sana.Jini Barike akasimama
nakutoa ripoti kuwa amefikia wapi. “Kwa sasa zoezi linaenda vizuri sana maana yule binti
tuliyemridhia amekubali kutumika vizuri sana na pia wote wanaotaka kumfuatilia kuharibu
mpango huu nao tumewatia adabu‟ alisema jinni Barike. “Safi sana sasa tunaomba yule ambaye
anahusika na mambo ya kitaalamu atuelezee jinsi manii hizo zilivyohifadhiwa kweye benki yetu
na vipi tunaweza kukamilisha mpango mkakati huu.
Hapo Maisoso jinni ambalo ndo daktari bingwa wa mambo ya uzalishaji likasimama na kuanza
kueleza jinsi watakavyofanya. Akaanza kwa kusema ndugu zangu viumbe tuliopewa uwezo
mkubwa sana “Suala hili la upandikizaji wa mimba si muuujiza wala suala geni ulimwenguni na
hata huku tuishapo sisi. Asili ya mwanadamu iligundua uwezekano wa jambo hili miongo
kadhaa ya miaka iliyopita. Historia inatuonyesha kwamba Waarabu waliitumia njia hii ya
upandikizaji katika kupandikiza mitende katika karne ya kumi na nne (14thC A.D). Nazo nchi za
Magharibi zikaigundua njia hii katika karne ya kumi na nane (18thC AD) karne nne baada ya
Waarabu.
Mtu wa kwanza kufanya jaribio hilila upandikizaji kwa binadamu alikuwa ni daktari wa
Kiingereza, John Hunter mnamo mwaka 1899 miladia, na jaribio hili lilihusisha mbegu za
mwanamume (manii) kwa mkewe. Ama huu upandikizaji wa mimba kwa mwanamke bila ya
kutumia mbegu za mumewe bali kwa kutumia mbegu za mtu mwingine, huu ulifanywa kwa
mara ya kwanza nchini Ufaransa m7namo mwaka 1918 Miladia. Kutoka hapo ndipo ulipoenea
katika pande mbalimbali za ulimwengu ulioendelea kisayansi na teknolojia mpaka wakafikia
kuanzisha benki ya mbegu za kiume (manii) kwa lengo hili la upandikizaji.
Utaalamu huu ukaendelea mpaka ukafikia hatua ya kupandikiza mbegu nje ya tumbo la uzazi,
zikapandikizwa ndani ya chupa iliyoandaliwa maalumu kwa kazi hiyo. Chupa hii huwa mithili
ya kitaru cha miche ambapo ikikua huenda kupandikizwa shambani. Hivyo ndivyo ilivyo kwa
chupa hii, baada ya muda fulani kupita tangu kupandikizwa kwa yai, yai hilo hurejeshwa tena
katika tumbo la mwanamke lililotwaliwa kwake yai hilo au kwa mwanamke mwingine yeyote.
Na pengine huwekwa katika tumbo la hayawani mwingine asiye mwanadamu ili aibebe mimba
hiyo aliyopandikizwa badala ya binadamu (mwanamke).

Kwa hio una maanisha tunaweza kupandikiza hata kwa viumbe vingine kama wanayama na watoto bado wakazaliwa alihoji mmoja wa majini. “Kabisa hilo linawezekana na hata mkitaka tujaribu tutajaribu”Dr Maisoso alifafanua na kuongeza hapa ndipo ulipofumuka upinzani dhidi ya upandikizaji huu wa mimba kutoka katika majukwaa ya kidini na ya kisiasa. Khasa khasa pale upandikizaji unapowahusisha watu wasiokuwa mke na mume, au ulezi wa mimba anapopewa mwanamke mwingine au mnyama.Sawa sawa Dokta tunakuelewa huo upinzani wa binadamu wakihusisha na vitabu vitakatifu vya dini sisi haituhusi maana sisi tunaamini katika imani ambazo hata hao binadamu hawazijua”alitoa hoja mmoja wa wajumbe wa kikao hicho.
Mjumbe mwingine akasimama na kuomba ufafanuzi kuhusu upandikizaji wa mbegu ambazo kitaalamu unaitwa In Vitro Fertilization (IVF). Hapo ikawa nafasi nzuri kwa kwa Daktari Maisoso kutoa tena ufafanuzi wa kitaalam.Dokta Maisoso anasema “yai la mama hupevushwa kwa kutumia dawa maalumu na hufuatiliwa kwa kutumia mashine ya uchunguzi wa ndani ya mwili(Ultrasound).
“Baada ya yai kukomaa, sindano maalum yenye wembamba mithili ya unywele huingizwa ukeni hadi kwenye mirija na yai lililopevuka huchukuliwa na kutolewa nje,” anasema.Yai au mayai hayo huwekwa kwenye chombo maalumu (test tube) kabla ya kuhamishwa kwenye beseni maalumu ambalo hufanya yai liendelee kuwa hai licha ya kutoka nje ya mwili wa binadamu.“Beseni hilo halina budi kuwa na mazingira kama ya mwilini. Kwa mfano joto, mwanga na kusiwepo na sauti, kwani yai huweza kuharibika kwa kasoro ndogo ndogo sana,” anasema.
Anasema wakati huo mbegu za mwanaume hupimwa kama hazina walakini na hutolewa kwa mwanaume kujichua au kama hawezi kujichua basi hutakiwa kufanya tendo la ndoa na mke wake na kisha mbegu kukingwa kabla ya kuwekwa kwenye chombo maalumu.***
Mbegu za baba hutakiwa kutolewa saa mbili mara tu baada ya yai la mama kutolewa ili visipishane.“Baada ya yai na mbegu kutolewa, hatua inayofuata ni kuichoma mbegu kwenye yai kwa kutumia sindano maalumu. Mchakato huu unaitwa kwa kitaalamu, Intra Cytoplasmic Sperm Injection au ICSI),” anasema.Dokta huyo anaeleza kuwa, baada ya mbegu na yai kuchanganywa, huwekwa kwenye chombo maalumu cha joto kitaalamu ‘Incubator” kwa saa 40 kabla ya kuwekwa au kupandikizwa kwenye kizazi cha mama.
“Hali kadhalika ‘incubator’ inatakiwa kuiga hali ya tumboni mwa mama wakati yai la mama na mbegu za baba vinapowekwa kabla ya kuwekwa kwenye kizazi cha mama, kwa mfano joto, mwanga na sauti,” anasema DR Maisoso.Dr Maisoso IVF ina mafanikio makubwa kwa mtu au kiumbe yeyote isipokuwa wanawake wenye umri wa miaka 40 na kuendelea. Hapo dokta huyu jinni lenye utaalamu mkubwa likawa kama limeweka nukta na kuanza kusikilizia nini kitakuwa kinaendelea.
“Kama kuna mtu anaswalia anaruhusiwa kuuliza” alisema Dokta huyo na kukaa kimya.Watu wote walikuwa kimya wakiangaliana ni nani aulize swali. Akasima jinni mwingine na kuuliza kwa hiyo hizo maniiia ambazo jinni Barike anasema zipo za kutosha zimehifadhiwa wapi. Yule yule Dokta akasima na kujibu swai hilo.. Kwa sasa tuna banki yetu maalumu ya kuhifadhi manii hizo na kutokana na sayansi na teknolojia tuliyonayo pengine kuliko hata binadamu zinaweza kukaa kwa mda mrefu.
Baada ya majibu hayo na wahusika kukaa kimya dokta huyo akaamua kukaa chini na kuacha mambo mengine yaendeelee.Asante sana dakatari kwa ufafanuzi wako huo sasa tunaomba tujadili kuhusu habari za watu waliokuwa wakimfuatilia yule binti ambaye tulimridhia” alisema mwenyeketi wa kikao hicho. Hapo jini Makata akasimama na kusema “Jamani ile kazi ya kumtoa uhai na kumwangamiza baba yake na Tariq imekuwa ngumu sana maana kwa sasa amekimbilia kwa mtaalamu wa majini.. Ila pamoja na hayo bado tuliweza kumtumia popo mwenye mabawa ili aweze kumshkisha adabu.Si hivyo tu pa tumeweza kumtiia ububu ili hasiweze kusema kitu chochote kwa mtaalamu huyo” alifafanua jini Makata na kukaa chini. “Kwa hiyo nini kinaendelea mpaka sasa aliuliza mwenyeketi wa kikao. “Kinachoendelea tunasubiri reaction ya huyo mtaalamu wa Zanzibar ili tuone atafanyaje ili kupambana na dhahama ambayo tumempa baba huyo. “Kweli kabisa sisi ni kukomaa tu na hiyo mbinu ya kumtia ububu. Sawa kabisa hiyo ni mbinu bora na itafanikiwa lazima, alidakia jini mwingine.Basi kikao kikafungwa na jini Barike akaagizwa aendelee na majukumu yake ya kuhakikisha anawapelekea manii za kutosha kule kwenye benki maalumu iiyotengenezwa kwa ajili ya kuhifadhi bidhaa hizo. Wazo la mwisho lilikuwa ni kumtupia jinni la mkosi baba yake na Tariq ili iwe ngumu sana kwa huyo mtaalamu kujua anapambana na jinni lipi*****
Baada ya baba yake na Tariq kuingiliwa na lile jini lenye mabawa na kumzalilisha na kumtaka aende mjini kutangaza uzalishaji huo mzee huyo aliamua kwenda kwa mtalamu wa majini huko Zanzibar. Alipofika tu akakumbwa na mkasa mwingine yaani alipigwa kimbora cha kuwa bubu na kushindwa kuelezea nini kilitokea. Baada ya mtaalamu huyo wa viumbe hivyo kugundua kuwa mzee huyo alikuwa na bifu kubwa sana baina yake na viumbe hao hivyo aliamua kumpa tiba ndefu sana ambayo angesaidia kumwondoa kwenye vitabu vya kumbukumbu ya viumbe hivyo.Aligundua hata akimtibia bado ataendelea kuandamwa na viumbe hivyo kwa sababu huyo mzee alikuwa na ushirika wa moja kwa moja na viumbe hivyo.Alikuwa akifuga majini na baadaye aliyatelekeza yakawa yanaranda randa katika mitaa ya mji wa pangani. Hapo unazungumzia majini marufu kama Chawa Mwana kawanga, jinni Barike, Makata,Kishushuna na mengine mengi ambayo ni maarufu huko Pangani.
Kwa hiyo ili aweze kupata tiba ya majini na kuachana kabisa na viumbe hao ilihitajika huduma ya mwezi mzima, huduma ambayo licha ya kuchukua mda mrefu pia ilikuwa ikihitaji pesa nyingi. Sasa ugumu ukaja mtu huyo angeshirikishwa vipi kuhusu mda wa huduma hiyo na gharama hili hali mzee huyo alikuwa hawezi kuongea.Wazo lilokuja ni kumpigia simu mtoto wake na kumueleza hayo yanayojiri. Tariq ambaye na yeye alishapata mauaza uza ya viumbe hao kwa sasa alikuwa akiendelea vizuri na alikuwa amepata somo kuwa viumbe hivyo havitaki kufuatiliwa.Mtaalamu alimpigia simu Tariq na kumueleza kitu kinachoendelea juu ya baba yake. Tariq kwa kuwa aliona maelezo ya kwenye simu yalikuwa ni magumu sana kuyaelewa aliamua kufunga safari na kwenda moja kwa moja mpaka visiwani Zanzibar kwa ajili ya kuonana na mtaalamu huyo.Nia yake ilikuwa ni kupata ushaui wa kitaalamu kabla hawajakubali kuuza mali za mzee huyo kwa ajili ya matibabu hayo. Pesa waliotajiwa na mtaalamu huyo ilikuwa ni kubwa sana. Tariq alifunga safari na kwenda Zanbira. Akiwa huko


Akiwa huko Zanzibar, Tariq alifanikiwa kuonana na mataalamu huyo na aliomba ufafanuzi wa tatizo lilokuwa likimsumbua baba yake. Mtaalamu hakusita kumuleza juu ya mauza uza yanayomkabili baba yake. “Ujue Tariq baba yako akabiliwa na vita nzito sana juu ya hawa viumbe.Vita hivyo vimejegwa kwenye misingi ya historia, visasi na mambo ya kale ambayo baba yako alishawahi kuwafanyia viumbe hawa kipindi akiwa na uwezo wa kuwaamrisha atakavyo.. Labda nikueleze tu kwa kirefu juu ya hili jini lilomwingia dakika chache tu tangu alipoingia kwangu na kuwa bubu hasiweze kuongea chochote juu ya vitu vilivomtokea usiku wa kuamakia siku aliokuja hapa. Tariq baba yako ametupiwa jini kisirani” mtaalamu wa majini alimwambia. Tariq akauliza huyo jini kisirani ana kuaje” Hapo ikabidi mtaalamu huyo atoe ufafanusi juu ya jini huyo.
“Huyu ni mmoja wa majini wakorofi sana anapokuwa mwilini mwa mwanadamu. Usumbua na ubadilika badilika sana kwa ayafanyayo katika mwili wa mwanadamu. Anaweza kumuharibia Mtu mahusiano, mapenzi, ndoa biashara zake, kazi elimu, na hata mipango na mambo yake mbalimbali. Jini huyu uharibu mimba, uharibu vitu mali za mtu, uharibu hata familia na uharibu watoto wakawa hawasikii, hawana msaada pia kuwa wakorofi na kuwaharibu kimaisha na maadili. Jini mahaba wa mauzauza na mikosi nuksi umfungia mtu kila kitu chake maishani. Mtu akaonekana kila afanyalo haliwi au halifanikiwi. Jini huyu umfungia mtu mipango yake na kumsababishia matukio ya ajabu ajabu ya kusikitisha maishani. Jini huyu umfanyia mtu alienae mwilini aonekane hana maana yoyote kwa jamii na pia umfanya asithaminike popote.
Jini huyu umzibia mianya ya kipato usababisha akaonekana kituko mahali popote hata kama anazo sifa stahiki au ujuzi na taaluma ya hali ya juu lakini akakosa kazi au kibarua na kuhangaika huku na huku asifanikishe, akadanganywa na kupewa ahadi sizo, kukosa atakacho kwa wakati kupewa ahadi zisizokamilika. Jini huyu wa mauzauza umsababishia alie nae mabalaa majanga visa vituko matukio asiyoyatarajia. Jini huyu uzitia mauzauza pesa pindi mtu alie nae, jini huyu akipata pesa haikai na wala haioni inapotea bila cha maana alichofanya na iwapo akiwa anafanyakazi basi akipata mshahara mpaka unaisha bila jambo la msingi na hapati pesa nyingine kabisa mpaka iliyopo imekwisha.
Jini huyu ukwamisha maendeleo mipango na hata utafutaji wa mtu huwa na mauzauza.Jini huyu umfungia mtu kila kitu chake pia uvunja nguvu za kiume, umtoa mtu ashki na matamanio, uondoa hamu ya tendo la ndoa na umpa msuzauza wakati wa tendo, uume kunywea au kutosimama kabisa akapatwa na aibu. Jini huyu ugombanisha wawili wapendanao na kuchukiana neno dogo litakuwa kubwa. Uondoa amani ndani, uvuruga vichwa vya wapendanao na usababisha wivu uliokithiri utoa imani kati yao na uvunja ndoa au mahusiano kila mmoja uona bora kuachana, hapo jini huyu huwa kafanikisha ushawishi usaliti wa mahusiano au ndoa na kusababisha fumanizi lisilotarajika. Jini huyu mauzauza nuksi na mikosi mbaya sana anapompata mtu mwilini yupo wa kutumwa na yupo wakuzaliwa nae basi kila mara wewe utapatwa na majanga tu mfululizo yupo wakukukumba tu njiani na yupo wa kuambukizwa jini huyu ukiwa nae mikosi yake ni kukosa kila jambo na kila utakacho unakosa hata ukataka kitu chepesi rahisi kwako huwa kizito kigumu . Hapo mataalamu huyo akakoa kidogo na kuendelea
“Jini huyu umpa mtu vizuizi pingamizi na vikwazo kila upande maishani afanyalo lolote haliwi na likiwa si kwa wakati. Jini huyu umtia nuksi mtu hata katika kushirikiana na mtu kitu ikiwa yeye yumo huwa akifanikiwi hata akiwa mke ameolewa anayo jini huyu basi mume upatwa na mauzauza mikosi nuksi na akiwa na mali basi ufilisika akiwa na biashara inakufa akiwa na ajira atafukuzwa. Jini huyu ufilisi mali uangamiza hata familia nzima jini mahaba wa mauzauza ujibadilisha akiwepo milini na kujifanya mzuri sana yote ni mauzauza tu asitolewe. Usababisha kuonekana hivyo ukafanya gharama za mapesa kumfanyia chano pete na vitu vingi vya thamani yote huwa mauzauza. Pia uharibu mimba uzivizisha mbegu za mwanaume zikawa viza si za kumpa mwanamke mimba. Jini huyu umtia mtu maradhi mazito akahangaika asipate tiba. Jini huyu umfunga mtu mirija ya uzazi asishike mimba na zingine uzitoa.
Jini mahaba wa mauzauza anakera anatia aibu kwa mtu anadhalilisha anasumbua anatesa anaadhibu na kukatisha tamaaa kwa alienae mwilini. Jini huyu uvuruga tiba umpa alienae wakati mgumu kifedha ili asijitibie kila akitaka kuanza tiba umtia misukosuko mauzauza matatizo na akapatwa na mambo asiyotarajia maishani. Jini huyu hatari sana mtu anapokuwa nae basi haishi matukio. Kwa upande wake jini huyu umsababishia mtu wasiwasi kila wakati hizo ni baadhi ya dalili anakuwa na khofu unyonge upatwa na njozi za kutisha au uota maiti anakutana na watu wa ajabu uota mapambano vita au majoka. Uota anafanya ngono nawatu anao wajua sura zao au asiowajua hata nduguze wakuzaliwa au mzazi wake au mtoto wake au jirani au mpangaji mwenzake. ‘Tupo pamoja Tariq ?aliuliza mtaalamu huyo. Tariq alinyamza kimya kama vile na yeye ameshapatwa na jini hilo la visirani….
“Nipo pamoja na wewe mtaalamu yaani unanielza vitu vingi mpaka naingiwa na wasiwas” alijibu Tariq na kumuomba mtaalamu huyo aendelee kutoa somo. “Basi kwa upande wa ndoto jinni hili umfanya mtu kuota analea au kunyonyesha, uota harusi au anazo pesa nyingi, uota anamiliki mali majumba magari. Sio hivyo tu pia uota yupo na mwanamke au mwanaume mzuri sana, uota anazaa. Jini huyu umuotesha vitu mbalimbali vingine ni kumdhalilisha tu. Jini huyu uotesha upo porini au baharini, jini huyu unaweza kuota unajisaidia ukaota unachezea kinyesi. Jini huyu huwa anapokuwa mwilini uharibu hata misaada na watu wakukusaidia wakakuchukia yeye usimama mbele ya sura yako akabadili hata muonekano wako popote pale maishani ukusababisha uonekane kituko au kughadhibisha watu bila kujijua. Jini huyu hatari anazonguvu za ziada katika majini ni ghilba sana na jini mahaba wa mauzauza na mikosi umvuruga mtu akaacha kitu bora au akatoka alipo bila kujitambua na kwenda sipo.
Kwa hiyo mtaalmu yule binti Radhia yeye atakuwa ameingiwana jinni huyo? Aluliza Tariq. “Hapana yule ameingiwa na ndugu wa jini huyu ambaye ni maarufu kama jini mahabati nia yake ni kumsababishia mwanamke apende kufanya ngono.Na huo ni mzimu wa jini Barike ambalo pia baba yako alishawahi kulifuga kabla ya kuliachia lirande rande kwenye viunga vya mji wa pangani. Sawa hapo nimepata picha kidogo hayo tuendelee na huyo kisirani alisema Tariq. “Sawa mikasa mingine ya jini huyu ni kwamba anaweza kumsababisha mtu kuhama au kutoroka akaenda mahali sipo bila kujijua na akakutwa na matatizo asiyotarajia. Mtu anaweza kuacha familia akatoweka na huko alipo asijitambue kama aliacha familia. Jini huyu hatari sana umsababishia mtu kupoteza vitu kwa kuuza akiamini atapata vingine au atafanya biashara na kupata zaidi lakini huwa ndio basi hapati tena anaweza kukopa asiweze kulipa anaweza kukopesha asilipwe.
Jini huyu hata haki za mtu upoteza hivi hivi tu na ikawa majanga kwake ukiwa na jini huyu utadhulumiwa utatapeliwa tena kirahisirahisi tu jini huyu ni mbaya sana kwa jamii umuweka mtu pabaya sana.Jjini huyu uchosha akili mwili na nguvu zote, unahangaika umri unakwenda hakuna ulichofaidika. Yaani ana visa vingi sana kama kumsababishia mtu uzembe asiokuwa nao na kumzubaisha na huwa hainekani kwa kila afanyacho iwe kazini hapati haki zake apandi cheo apandi mshahara wageni wanamuacha hapati malupulupu wala misafara ushaulika kama hayupo nae yupo palepale. Jini huyu unasababisha mtu asiolewe au asioe maishani na akakaa na huyu mara yule akawa anazaa tu na ukiachwa wewe anaoa mke wewe unabaki kuwa kimada tu kwa kila mwanume. Huyu jini mahaba wa mauzauza anatia nuksi mikosi mwilini. Jini huyu unaweza kuwa na kiwanja usijenge maisha mpaka ukadhulumiwa, unaweza kuwa na kitu cha maana unauza kisiuuzike unaweza kufanya udalali wa jambo usifanikishe mwenzio dakika tu anafanikisha. Kwa kifupi Jini huyu huwa mkorofi sana alisema mzee huyo na kuweka nukta.

ITAENDELEA

Post a Comment

0 Comments